Ladies and lovemaking


Muambiwe miezi sita Kabla?mi nakuambia mwaka Mzima Kabla lol
 

Hujambo weye?
 
Hapo umenikosa mzee....hayo yote hayanihusu. Kwenye upande wa approach, kwani unafikiri kwangu alikujajekujaje? Na mahaba nayajua mzee.

Poa mkuu tusubiri wataalamu wafunguke huo ni mtazamo wangu tu.
 
Kwa mujibu wa sheria gani?

Kaka ni wewe uulizaye haya maswali au wauliza kimazoea tu?

Sheria ya kujaamiana inaeleza hivyo, sheria za kiimani (dini) zinaeleza hivyo, sheria za kijamii (mila) zinaeleza hivyo pia.
 

Eeeh kumbee???
 
Kupasha must...tena unakaa kila mkao huku unakata viuno
Unakuwa so excited. .

Hahahaaaa, halafu mazoezi yote hayo ukifika geto mpoleeee, ukiguswa unarukaaa.
 
M hua nawaachaga wanaenda....maana vijisababu ooh ts the first day...hatujazoeana!!...awa ni wale wa fasta fasta..unamwambia aya msalimie mama ee...km na no unazo unazifutilia mbal
 
Inategemea makubaliano tangu bint anakuja,mlipanga akija mfanye yenu?
Kama ndivyo basi sitaki itakuwa ya mbwembwe tu as akiingia na kuanza kusaula unaweza nawe ustuke na kuahirisha mechi.
Kama hamkupanga hilo,ana haki ya kukataa kwa maana halisi ya kukataa na hasa kama ndio 1st time,ni fear of unknown!
Maumbile yako yakoje?,game yako dkk ngapi?,utam rate vipi?,utaridhika naye?,atakumudu?
Kama mlisha do before na ana majibu ya baadhi ya haya maswali bado anaweza kukataa pia kwa sababu zake binafsi ila ukifanikiwa kuingia hana jinsi bora tu atoe ushirikiano ili iwe win win situation!!!
 
Unajifanya bikra kumbe birika he he he

Hahahaaaa, kuzaliwa mwanamke raha mwee!
Tena akivua unafumba macho kama hujawahi kuuona.....wakati we ndo unaongoza ligi....yani team libolo hazikutishagi.
Cha ajabu zaidi round ya pili unaianzisha mwenyeweeee....lol.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…