ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,134
- 17,603
nitasoma comment zote mpaka nijue mwishowe ni ni maana hii tamthilia inaelekea kutamu
umeongea ukweli kabisa........ pia kufanya ngono na mtu kwa mara ya ya kwanza hujenga kitu kama hofu fulani na kama hamja pima ndio kabisa...yanakuja mawazo kama " vipi kama ameathirika? uwiii ntakufa mie" so hapo lazima stimu ikate...Sijui sababu za kibailojia ila za kimazingira mara nyingi unakuta labda kakuona mchafu, au ulipotoa nguo zako kuna vitu vimemtisha either vipele, mabaka, makovu mengi hadi anajisikia kinyaa. Kunuka mdomo, meno ya binzari, maugali ugali kinywani, kitambi kimepitilza, approach yako yakishambashamba yakuomba gegedo, luga za kukatisha Tamaa, yaani kukosa lugha mahaba etc.
Ngoja kwanza! Hii kitu imekukuta eh maana naona unaongea kwa hisia
Sijui sababu za kibailojia ila za kimazingira mara nyingi unakuta labda kakuona mchafu, au ulipotoa nguo zako kuna vitu vimemtisha either vipele, mabaka, makovu mengi hadi anajisikia kinyaa. Kunuka mdomo, meno ya binzari, maugali ugali kinywani, kitambi kimepitilza, approach yako yakishambashamba yakuomba gegedo, luga za kukatisha Tamaa, yaani kukosa lugha mahaba etc.
umeongea ukweli kabisa........ pia kufanya ngono na mtu kwa mara ya ya kwanza hujenga kitu kama hofu fulani na kama hamja pima ndio kabisa...yanakuja mawazo kama " vipi kama ameathirika? uwiii ntakufa mie" so hapo lazima stimu ikate...
Reason kubwa: ni kukutana na kitu ambacho hakikuwa expected ( Mai expiriensi)
Nakutana na mkaa mzuri kichizi nampania ile mbaya nahisi game yake itakuwa tight mbaya
nikikaa chumbani muda wote napasha weee nakata viuno, najifua kwa ajili ya hiyo siku
siku ya kukutana na jamaa sasa ananuka jasho ile mbaya, labda zimepita days kadhaa basi mindevu imeota amekuwa kama
kabeba kiota cha ndege hapo kidevuni afu mchafu, okay nimejitutumua kupapasa mdoli wake nakuta kitu sikutegemea
nilijipanga kukutana na kitu imara kama kama simba uuh baada ya kuchezea weee kitu size ya msokoto wa bangi
afu kimekaa kimdebwedo tu....
kwa hizo situation kuna mzuka tena?nakuuliza wewe ulieuliza swali
Kumbe ni ishu ya unmet expectations!! Unakuta suprise sio!?! Ila maji si umeshayavulia nguo, keisha kuwettisha hapo eti, ndo unagundua majanga mawili matatu. Si uyaoge tu kuliko kuleta mfarakano??!
Wewe ukija kwangu hutokiReason kubwa: ni kukutana na kitu ambacho hakikuwa expected ( Mai expiriensi)
Nakutana na mkaa mzuri kichizi nampania ile mbaya nahisi game yake itakuwa tight mbaya
nikikaa chumbani muda wote napasha weee nakata viuno, najifua kwa ajili ya hiyo siku
siku ya kukutana na jamaa sasa ananuka jasho ile mbaya, labda zimepita days kadhaa basi mindevu imeota amekuwa kama
kabeba kiota cha ndege hapo kidevuni afu mchafu, okay nimejitutumua kupapasa mdoli wake nakuta kitu sikutegemea
nilijipanga kukutana na kitu imara kama kama simba uuh baada ya kuchezea weee kitu size ya msokoto wa bangi
afu kimekaa kimdebwedo tu....
kwa hizo situation kuna mzuka tena?nakuuliza wewe ulieuliza swali
Tatizo na nyie hamueleweki, nikija geto nikianza kusaula mwenyewe utanishangaa na kuniona wa ajabu...na jina la ma.la.ya utanibatiza....!
Nikijifanya sitaki ndo hivyo tena unalalamika....!
Ila kwa kweli kama mtu sio changudoa basi mgegedo wa siku ya kwanza lazima ujiulize......manake hujui zipu ikishafunguliwa utakutana na ndizi kisukari au ndizi bukoba.....inaogopesha jamani.
Tena hujui kama dereva mstaarabu au rough ryder!
Tunawazaga mengi ndo mana tunakataaa!
Reason kubwa: ni kukutana na kitu ambacho hakikuwa expected ( Mai expiriensi)
Nakutana na mkaa mzuri kichizi nampania ile mbaya nahisi game yake itakuwa tight mbaya
nikikaa chumbani muda wote napasha weee nakata viuno, najifua kwa ajili ya hiyo siku
siku ya kukutana na jamaa sasa ananuka jasho ile mbaya, labda zimepita days kadhaa basi mindevu imeota amekuwa kama
kabeba kiota cha ndege hapo kidevuni afu mchafu, okay nimejitutumua kupapasa mdoli wake nakuta kitu sikutegemea
nilijipanga kukutana na kitu imara kama kama simba uuh baada ya kuchezea weee kitu size ya msokoto wa bangi
afu kimekaa kimdebwedo tu....
kwa hizo situation kuna mzuka tena?nakuuliza wewe ulieuliza swali
wewe ukija kwangu hutoki