Ladies and Gentlemen..open this thread

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
No matter how hard the situation,
how many dreams will be spoiled,
A baby is a gift from the almight God.
STOP ABBORTION
 
yap wanafanya, kuna madoc wanaume, tena ndio wengi wanaosaidia kinadada wanaougopa umama kufanya hllo, lakini pia kuna kina kaka ambao huzikataa hz mimba, kuna wanaolazimisha kuwa zitolewe na hata kulipia ili hlo lifanyike, kwa hyo wote wanawake na wanaume wanahusika.
ivi gentleman hua wanafanya abortion?
 
Back
Top Bottom