Ni lazima uwe na nguvu au maarifa

Ni lazima uwe na nguvu au maarifa

kwa upande wa binadamu mambo ni tofauti kidogo kwakua akuna kukamatana kibabe na kulana mambo kama ayo yalikuepo miaka ya zamani sana bahadhi ya sehemu na sehemu lakini ukiangalia kwa umakini mlolongo wa mambo ni uleule kwa kua licha ya kutokukamatana kibabe na kulana kuna kukamatana kimaharifa na kutumiana.KATI KATI YA JIJI LILILOCHANGAMKA KUNA WAKUBWA WENYE UWEZO WA MAHARIFA NA NGUVU YA KIFEZA NA KWAKUPITIA NGUVU YAO WARIOKUA NAYO YA MAHARIFA NA FEZA BASI WANAKUA NA UWEZO WA KUWAKAMATA NA KUWATUMIKISHA WALE AMBAO AWANA MAHARIFA NA NGUVU YA FEZA. kwaiyo ili kuepuka kuangukia kwenye mikono ya wakubwa ukaja kutumikishwa ni lazima uwe na maharifa na nguvu ili na wewe uwe mkubwa na uje kuwatumikisha wengine
 
Umepatia. Ukiwa na nguvu na maarifa utafanikiwa sana duniani.
 
principle ni ile ile the weaker must die for the stronger to survive. ni kuchagua upande mambo mengine yapo tu ili nature ibalance
 
Back
Top Bottom