labour law.

nkowowo

Member
Apr 21, 2012
29
2
In what extent, domestic workers are protected by The Employment and Labour Relation Act of 2004.
 
Wanafunzi wa Tanzania hawataki kufikiria hata kidogo yani Amepewa assignment darasani badala ya kwenda library unaenda kwenye pombe ukirudi ukute tumekujibia, nenda library utuambie nimepata haya hapa tukurekebishe kabla hujapresent assignment yako. Acha uvivu
 
  • Thanks
Reactions: mka
In what extent, domestic workers are protected by The Employment and Labour Relation Act of 2004.

Hili swali la darasani kabisa! Mkuu ingia Library, hapa ukitafuniwa haitakusaidia lolote, sana sana itakuharibu!
 
Huyu jamaa inaonesha ni mvivu wa kufikiri, kwanza ndo kajiregister JF tarehe 21 siku hiyohiyo anatuletea swali lake la assignment, Wanasheria wa JF hawapo hapa kwa ajili ya kuharibu kizazi cha sheria kinachokua, mdogo wangu Ingia Library, pia browse online utapata majibu mengi na utachagua mwenyewe njia ya kujibu swali lako coz to what I know there is no katika sheria there is no 100% answer. Mdogo wangu tukikujibia hilo swali tutakuwa tumekuharibu kitaaluma badala ya kukujenga
 
thanks, but sio assingment nilitaka kujua tu ideas za wanajamii wanasema nini kuhusu wafanyakazi wa ndani kama kuna sheria yoyote inayowalinda may be mfumo wa swaali umewafanya muone kama ni assg and then kujiunga na kuuliza swali is not an offence . IF U DONT HAVE ANY IDEA JST STAY KAM.
 
Back
Top Bottom