DEWIS KAIJAGE
Member
- Jul 23, 2016
- 72
- 8
Habar wana jf msaada kuhusu izo kozi hapo juu ipi iko poa na kazi yake iko vip na ipi ina soko katika ajira kuliko nyingine
Ishu sio kusoma ishu unaenda kuwa nani na nn cha kufanya ili ucjutie kwa kile ulicho kisomaWewe unapenda kusoma ipi kati ya hizo?