Laboratory science and technology

Laboratory science and technology

Course inayoongoza kwa watt wa kike MUST kila mwaka, uende ukasome lasivyo utapata × where by (3.4>=×>=0).
 
Lab tech kozi ambayo nimeipiga Dit miaka 3 iliyopita ndo nimemaliza bt mpka nw sijawah jutia cz tangu nmalize chuo miaka 3 iliyopita nineshafanya kaz sehem nne na hapa nilipo ni sehem ya 5,lab iko marketing sana japo namm narud chuo tena mwaka huu kupiga jiwe bt nabadilisha fani nataka nkapige legal and industrial metrology inatolewa na chuo kimoja tu na ukimaliza unaajiliwa na wakala wa serikali wa vipimo WMA hapa nchini kwasababu inademand ya watu wengi
 
Hii walinichukua mwaka jana cbe lakini sikwenda
 
Back
Top Bottom