DEWIS KAIJAGE
Member
- Jul 23, 2016
- 72
- 8
Niko Tabora we wapUko mkoa gani
Niko Tabora we wapUko mkoa gani
Hiyo course ni nzuri sana, inafundishwa kwa miaka mitatu DIT pekee. Qualification lazima o level uwe umefaulu Math, Physics, Biology na Chemistry angalau kwa kiwango cha CNaomba kujua zaidi kuhusiana na course tajwa hapo juu ngazi ya diploma ajira zake na umuhimu katika hiyo taaruma na kingine hivi hii course ina mda gani.
Wala uckonde kwa hilo tutapiga msuli kichaa cndio wanataka weny nchiKatafuteni 3.5 na zaidi la sivyo hapo ndo itakua mwisho wa elimu yenu
Vp ww huko hapo sasa auHey karibuni mbeya wakuu must kipo poa xn u a welcome
So una wait selection au tayar umeshapata hukoKcmc ndo nime apply pnd izo
Iyo iko poa sana ondoa shaka man coz sehem yoyote unaingia popotePoa mkuu vipi lakini kuhusu hii course ya laboratory science and technology?
October tutakuwa wote hapo uko whsspGeita mkuu
Nipe no yako nikucheckYeah
Ya na wait selection Mr karibu Sana MUST apa ila ujipange na makoti ya kutoshSo una wait selection au tayar umeshapata huko

Hakuna noma tutakomaa tuYa na wait selection Mr karibu Sana MUST apa ila ujipange na makoti ya kutosh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu must nipo hapo second year bachelor, civil.chuo kizuri sana madarasa ya lab ni mapya iyo kozi ndo ina warembo chuoni.Geita mkuu