Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Hello JF members
Hope you all have a lovely weekend.
Weekend hii nimekaa mahali nikawa nawaangalia baadhi ya watu na pia vituko vyao.
Niliona aina mbalimbali na watu wa rika tofauti. Kwa kweli tuseme walikuwa kwenye hali tunaweza kuiita ya kimapenzi! Nilijiuliza sana mwisho nikajiuliza hivi hawa wote waliwahi kupitia chuo chochote cha hii sanaa ya mapenzi? Ni nani na wapi watu hujifunzia hii sanaaa!
Naomba kujuzwa tu!