If you could read again nimesema it doesn't matter...
Na sijasema mkosaji ni the other woman...
Na usijedhani watu wana fight afu wanarudi home kuwabusu na kuwa hug waume zao...nyumbani kunakuwa hakukaliki hakulaliki lakini hatoki mtu (si mume wala mke)
Sasa mama yangu mimi alikuwa opposite...alivumilia mpaka tukawa hatumuelewi...
Hakuna formular but when it is time to walk away or to run utajua tu...my marriage was not at that stage...(at least not yet)
And I love my family for that kwani niliwahusisha lakini kwa busara zao waliniacha niamue mwenyewe wakati walikuwa na uwezo wa kunambia nitimue mbio kwani nina kazi nzuri na ningeweza kulea mwanangu na mimba (by then)...
Nakumbuka mdogo wangu na kaka yangu walinambia whatever I decide they would be by my side...lakini walinikumbusha this is marriage wewe si wa kwanza wala wa mwisho ku face hiyo situation...if you love your husband think twice...na mume wangu nampenda saaaana...ingawa that time nilimchukia kupita kiasi...now It is over...I love him even more...
Ila timbwili nililianzisha kote kote...sa sijui kama ita work na kwa wengine...ila kwangu ili work...mume alikuwa na wakati mgumu zaidi ya miezi sita hadi nilipoanza kusahau...so its not that easy... 'baby come back' ...hell no...na HIV alipima
But next time (GOD Forbid) sitegemei kutumia same strategy...once bitten twice shy....na wala sita panic ila mume wangu ndio atajua mke alooa ana rangi gani... though I believe kwa sasa ashanjua vizuuri... maana heshima alonayo baada ya tukio mpaka imepitiliza...
Bold part..kudos
Unajua mi naona tofauti ya kwenye story na yako ni kwamba:
you had a husband who was willing to change..sio kahamia in five years
I always tell my friend kuwa,cheating ni mbaya and inaondoa trust ILA how a person aliyekucheat treats you is another thing
kama mtu amecheat na yuko remorseful,thats different ila tatizo ni kwa wale wanaocheat na mwisho wa siku anatreat like sh*t yani hajifunzi na anakuona wa nini,na dharau plus kashikwa kashikika
mtu unabanana baadae unaona yaishe tu
your dignity is far more important maana kama ulivyosema,huezi kumvulivulia mtu tu sasa mwisho wa siku hizi situation ikikuaffect zaidi utaona sawa tu kuvua ili ufill that gap ndo yale ya good girl gone bad
Na kama ni maombi basi ushafanya ya kutosha.
i have seen watu waliofight wakashinda and waliofight wakashindwa.
Nimependa your spirit ya fighting for whats yours,when it IS yours.You deserve kuitwa nyumba kubwa.