Labda Moshi inaongoza kwa ulevi

Jifunze kuwa mkweli, kwa uwongo ulioweka hapa hata nafsi yako inakusuta
Tena amepiga picha bila kujua kua tunajua udongo wa nyumbani ulivyo. Nikiborloni ipi yenye idongo mweusi hivyo?.
 
Hao itakua ndugu zako wa chato,wachaga hawanywi mbege kwenye ndogo ya kuongea,pia hawanywi hizo pombe chafu kama nyie,mbege inanywewa na kata au chibuku
 
Arusha bhange, nini tatizo kwa vijana hawa wanaoshunda wamelewa hadi wanasikitisha jamani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…