Labda Moshi inaongoza kwa ulevi

Mi niko hapa Kiborloni kwa profesa Vulata...Vijana wanakunywa mbege kuanzia saa 1 asubuhi
Sisi tuko hapa chang bai tunamalizia supu ya mbuzi na ndizi mchemsho, ila dere kalewa sijui tutafika salama Mkuu, maana amepiga vyombo mbaya
 
Nimejitahidi kuchunguza hizi picha na sioni kitu chochote kinacho wakilisha Moshi kuanzia watu wenyewe, mavazi yao, udogo wake na hata tamaduni katika kunywa pombe fake news sijui zinawafaidisha nini wabongo.
 
Pombe wanakunywaga kweli, ila hizo picha ulizoweka nadhani hawatakuacha salama hasa
 
Write your reply...moshi ndio MWL wa maendeleo tz
mkoa wa Kilimanjaro ni mkoa wa pili tz kuwa na makazi bora na maisha bora,
hizo picha ni za zaman zn miaka 7 hivi kadanganye majuha wenzio
 
Naona povu kuu, mbona nyie kuna vitu vya ajabu mnawasingizia wasukuma wakati hata hawavifanyi na pengine sio utamaduni wao, jamaa kasema wachaga umekuja juu tulia.
 
Hiyo picha ya chini sio moshi..

Pombe hiyo ni CHIMPUMU...

Ni pommbe moja tamu sana ipo Inapatikana Mbeya na Rukwa.

Moshi hakuna pombe hiyo.
 
Kwanza hizi picha ni za Siku nyingi na umezitoa kny mtandao au blog fulani hivi...ukiangalia tu hizi ni screenshots na siyo pictures from camera.
Pia maeneo ya kiboriloni ni mjini kabisa hakuna hali ya misitu na ukijani kama inavyoonekana...dogo umebugi step....kaanze upya kama unataka kuwashusha walioko juu yenu...

hahaaaaa...mchezaji wa michuano ya ndondo cup anataka kumshusha Christian ronaldo toka kileleni...utahangaika sana.
 
Jinga sana wewe
 
Mkuu mbona umehamaki sana. Huku jf uwe mpole tu hata kama sindano imekuingia
 
Ila angeweka picha ya gorofa migombani msingehemuka namna hii, kama ule uzi wa jokajeusi mlivousapoti japo umejaa pumba tu.Hiyo ndio kaskazini watu wanalewa mpaka wanashindw kuwadinya wake zao na kuamua kwenda kutafuta mabwana kenya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…