Labda mi ndo sielewi, nisaidieni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Labda mi ndo sielewi, nisaidieni...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eversmilin Gal, Jul 16, 2012.

 1. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi cielewi labda nimeona mtu amepanda kwa gari na familia yake anetoka job kanpandishwa mbele mfanyakazi mwenzake nyuma ndo kapanda mke wake na mtoto je nisawa?
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  si sawa kabisa...
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hivi uliishia darasa la ngapi.
   
 4. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ni sawa ikiwa tu ni makubaliano ya wanafamilia wenyewe, lakini si sawa ikiwa ni kwa shinikizo la huyo anayeitwa mfanyakazi mwenzake.
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Kama hujaelewa,wewe ndo wa kuulizwa umeishia darasa la ngapi,swali lako halisaidii pia hapa sio shule!
   
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  hyo hata me nshakutana nayo! cku 1 nlikwenda kutembelea family ya rafk yangu. sa wkt twatoka out nkamwona rafk angu na mwanae wanaingia ct ya nyuma nkamwambia mama d mbna waingia ct ya nyuma akaniambia kukaa na mtoto ct ya mbele ni risk make kama ikitoke ajali ya ghafla mtoto ndo atatangulia kuchomoka kwenye kioo cha mbele! so hii yaweza kuwa ndo sababu
   
 7. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  So mshkaj wangu tukitoka job tukamptia wife inabidi mwana mpishe wife!ha ha ha,kwani kataga mayai anayalalia kwenye gari!kwan mbele kunani?uo ni ushamba na usumbufu!
   
 8. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  We tega sikio utanisikia.
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,836
  Trophy Points: 280
  Ni jambo la kawaida sana usijali, ila sikunyingine omba kukaa nyuma ili usipate wasiwasi!
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  I'm here,an am listening!
   
 11. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Oh unajua kuimba kizungu mwenzetu kumbe we ni ndugu yake cameron.
   
 12. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  eversmiling gal,keep on smilling! hakuna ha ajabu hapo,hata ningekuwa mimi nisingekubali nikae mbele na mwanangu akae nyuma.kwa usalama wa mtoto ni bora kukaa nae!after all,kukaa mbele hakumaanishi kuwa wewe ndo mke wake,kama ni wako ni wako tu!
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  umenena vyema!
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha nini????Halafu kizungu ndo lugha gani?Sijawahi kuisikia tangu nipate akili!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Mawasiliano ni janga la kitaifa.
   
 16. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Ni sawa kabisa..mtu yoyote aweza kukaa mbele sio lazima mke tu.
   
 17. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  eti kwa job. Kumbe tuna wa kina mungiki au wakikuyu humu.
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,191
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kabisa mamaa kaona mshua na mshkaji wake wanaweza kupiga story vizuri zaidi kama wote wakikaa mbele. After all mamaa na mshua wapo pamoja siku zote, ikiwa pamoja na all night, huyu mgeni anakuwepo kwa muda mdogo tu.

  Ki-Afrika hii gesture inaweza hata kuchukuliwa kama heshima kwa mgeni.

  Unless ile seat ya mbele imebandikwa label kwamba "seat ya mamaa", haiko mukinga.
   
 19. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sa we siulijidai msomi mbona unauliza namanisha nini, next time acha kurukia reli kwa mbele.
   
 20. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama kuna sababu ni sawa lakini kama hamna si sawa.
   
Loading...