KINACHOWAPONZA WANAWAKE WENGI NI MAAMUZI DUNI KWENYE MAMBO YA MSINGI..ONA HII

mussa victor

Senior Member
Jul 12, 2015
116
162
LABDA HII ITAWASAIDIA:
Kinachowaponza Wanawake ni POOR DECISION MAKING IN CRITICAL ISSUES.
Unakuta mtu anajua kabisa ana Boyfriend Levi la Kutupwa,analala mtaroni kila siku,anafikishwa nyumbani hajitambui kafikaje,yeye yupo tu amekazana na Fanta yake..Unachumbiwa na kuolewa na hilihili levi,unasota nalo miaka 2 ya ndoa inakuwa kero...Ulimvumilia kwenye Uchumba coz hamkuwa mnalala pamoja,analewa na kutapika akiwa kwake na wewe uko kwenu..Sasa Mzigo ni wako,mko SAME BED..Anatapika hapo..Harudi home siku 4..Na hata akirudi yuko Njwii,hata 'kazi hawezi kupiga'
Unaenda kulalamika kwa Mchungaji kuhusu Tabia mbaya ya mmeo...YOU KNEW IT..Ukapuuzia na ukakubali kuolewa na JANGA...Mtabaki kusumbua Wachungaji na Wakwe kuwapatanisha wakati mlikuwa na Muda wa kujuana kabla hamjaamua kuishi pamoja
Kipindi cha Uchumba kitumie KUMFAHAMU VIZURI..Sio ukitumie KUMCHUNA,KULA BATA,OFA ZA KITIMOTO,TRIP ZA BAGAMOYO,KUMPIGA MIZINGA YA PERUVIAN HAIR..Ukasahau KEY ISSUES...Mmekaa miaka 6 ana watoto 2 na Wanawake wengine..Analewa na kulala mtaroni..Halafu analeta Posa unasema kuolewa ni Bahati.
Yakikushinda Usitusumbue...Sio kila POSA ni bahati,Posa nyingine ni kichaka tu cha kutua majanga yao...Your Decision TODAY will affect your TOMORROW...Think twice before you say YES to a Problem
 
GOOOD GOOOOD GOOOD YANI KAMA VILE UMEWAPA JIBU KAMILIFU SIDHANI Kama WANAKUELEWA WANAWAKE NI TATZO Sana YAAAANI BASI TU!
 
"Tulijufahamisha mapema
Kuwa mchumba wako ni mlevi,
Hukutaka kutusikiaa
Leo umeyaona mwenyewe
Mwanetu eeee
Nenda kwa wazazi wake,mumeo ukawaelezee
Leo umeyaona mwenyewe
Mwanetu eeee
Nenda kwa wazazi wake,mumeo ukawaelezee"
By Mlimani Park Orchestra
 
Umesema mengi ni mazuri...ila ukija kuangalia kiundani kuna watu kilindi cha uchumba wana pretend kabsa awe mwanamke au Mwanaume huwezi kujua ila kasheshe linakuja pale ambapo mtakuwa mmealalishwa kuwa mke na mume na kushare same roof, unakuta mtu sasa anatoa makucha yake sasa kama ni mlevi kupindukia au laa......NAKUPINGA kuwa wanawake hawana maamuzi ya maana katika critical issue hapana Wanawake wana maamuzi mazuri sana but ukumbuke kuwa wanawake wanahuruma sana hasa akiwa amempenda mtu kwa dhati. Na pia kuna mambo sio ya kumlaumu Mwanamke issu kama mume kuwa mlevi kupindukia ni MOJA ya maamuzi ya kijinga sana ya MWANAUME ili hali akijua kuwa ana majukumu mbeleni so Usiangalie upande mmoja wa coin anagalia na ulande mwingine...Mfano hata ww unaweza ukawa na tabia zako za ajabu ajabu wakat wa uchumba una zificha then mkioana unazionyesha mwanke akilalamika hana maamuzi kama angekuwa hama maamuzi ungezionyesha kipindi cha uchumba sasa........
 
"Tulijufahamisha mapema
Kuwa mchumba wako ni mlevi,
Hukutaka kutusikiaa
Leo umeyaona mwenyewe
Mwanetu eeee
Nenda kwa wazazi wake,mumeo ukawaelezee
Leo umeyaona mwenyewe
Mwanetu eeee
Nenda kwa wazazi wake,mumeo ukawaelezee"
By Mlimani Park Orchestra
....mwanetu kaza moyo uishi na mumeo
Mumeo huyooo
Ni wewe mwenyewe uliye mpeenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom