Haaaa haaa !!! Tutajenga daraja tukifika mtoni.Wengine wanaamini watambadilisha mwanaume wakiwa katika ndoa, ki uhalisia kumbadilisha mtu tabia ni ngumu sana. Kuolewa na kama bahati nasibu, hata akiwa mlevi tena awe ka status mjini, ulevi unauvalia miwani.