Labda ame smell something Fishy, hatuwezi jua

Labda ame smell something Fishy, hatuwezi jua

umbwa yule asiyeridhika mpaka wamemtoa kwa mbinde , na ukitaka kujua kamaindi angalia sura yake kila siku anajifanyaga kujichekesha lakini wakati anatangaza kutoka kachoookaaaaaaaaa sura imepoozaaaaaaaaaaa mmaaamaaaaaaaae zao na bado walidhani watakaa milele huko, akajichukulia na mke wa yule jamaa kisa madaraka ,duniani hakuna haki tunajisahau sana, huko na kule wanaendelea kuua wenzao kisa vyeo.NRNE
 
Mke yupi mkuu?
 
Uajatumia busara. Kuna fimbo ipo nyuma ya hayo maamuzi. Mara kadhaa alinukuliwa akisema bado anautaka ubunge. Swali linakuja, je angeupata na asiteuliwe kuwa waziri Mkuu, je angebaki bachbencher naye aanze kuomba muongozo wa spika?
This was a question of morality.. ⛓️‍💥⛓️‍💥📌
 
Baada ya Gufuli kufa tuliambiwa tetesi za kuwa kulikuwa na wasimbe wa kisiasa ambao hawakutaka katiba ifatwe, hivyo basi kama ndivyo basi na yeye aweza kuwa miongoni mwao , hatima yake ya kionja joto ya wababe itakuwa imefika,

Hii sio hiari ya huyo Kaphone mwenyewe never never never
I second u
 
Mara paaaap yupo upinzani anagombea urahisi
Hahahaha maama huu urahisi watu wanautaka sana
Weee! Hadhubutu. Akianza hizo harakati anawekwa kwanza House arrest... hawa greenland waonage tu kwenye majukwaa na sare zao...
 
Back
Top Bottom