Labda ame smell something Fishy, hatuwezi jua

Katumia busara sana! Hiyo busara ianmzidi mbali sana Bi. Mkora! Kwa kweli kwa uamuzi huo niko upande wake!
 
Forced eviction
 
Katumia busara sana! Hiyo busara ianmzidi mbali sana Bi. Mkora! Kwa kweli kwa uamuzi huo niko upande wake!
Uajatumia busara. Kuna fimbo ipo nyuma ya hayo maamuzi. Mara kadhaa alinukuliwa akisema bado anautaka ubunge. Swali linakuja, je angeupata na asiteuliwe kuwa waziri Mkuu, je angebaki bachbencher naye aanze kuomba muongozo wa spika?
 
Baada ya Gufuli kufa tuliambiwa tetesi za kuwa kulikuwa na wasimbe wa kisiasa ambao hawakutaka katiba ifatwe, hivyo basi kama ndivyo basi na yeye aweza kuwa miongoni mwao , hatima yake ya kionja joto ya wababe itakuwa imefika,

Hii sio hiari ya huyo Kaphone mwenyewe never never never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…