mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,526
- 18,259
Kwa jinsi keki ya mamlaka inavyo taste so delicious,So yummy ,so sugary 🎂 🥮... hakuna mtu anatamani aondoke kizembe.. watu wapo radhi wamwage damu amini nakwambia ili waweze ku maintain Power and influence ...
kizembe tu mtu anakwambia Sitagombea uenyekiti wa kijiji au uafisa mtendaji Kule uRuguay ambapo watu wake wanakuwa na Lindi la mawazo mda wote kutokana na msoto mkali.
Akili yangu ambayo hapa nahisi ishakuwa empty set inaniambia "Maybe" the formula one race grandprix itakuwa so brutal and Bumpy, so sisi washangiliaji inabidi "To brace for impact". Maana sio kwa kuaga huku haya mashindano kirahisi hivyo.... huu utamaduni hatuna tusidanganyane. Anyway lets wait and see what will Transipire next without spooking anyone.