Laana ya Usaliti ni Mbaya sana. Wote waliopewa vyeo baada ya Kusaliti CHADEMA Watapukutishwa kama vumbi

Taarifa nilizonazo ni kwamba Tayari mikeka mbalimbali imeandaliwa na wale wale waliotumika kuwanunua , jiandaeni kung'olewa , Tulipowaambia Chadema ni MPANGO WA MUNGU hamkuelewa , sasa bila shaka AKILI ITAWAKAA SAWA .
 
There's no fool like an old fool. Let alone an old bastard of your type. You're a shame. Arrogant imbecile and disgusting idiot. Why don't you keep quiet, when intellectuals are discussing national issues. You consider yourself a great thinker. Probably sycophant. You stoop very low indeed.

Umejitutumua. Pole.
 
Losers not loosers. To lose ni kupoteza and to loose ni kulegeza. Loser ni mtu aliyepoteza kitu lakini looser ni mtu aliyelegeza kitu. So which word is correct in your context!

whatever massages your ego, mate.
 
Umejitutumua. Pole.
Rubbish. Bahati yako.Ungeleta tena za kuleta, leo ningefungiwa. I was ready to hammer you summarily. Mwadabishe mpumbavu asije jiona smart. Rungu lilikuwa tayari nikuponde na kukusaga tikitiki. Sijitutumui. Hunifahamu. Acha kujikweza na kujiinua. Ilikuwa niongee nawe lugha ya matukano maana hiyo ndiyo ujuayo. Sio kwamba hatuijui. Uungwana unatuzuia. Wewe huna cha kukuzuia. Mpumbavu hana simile!
 
Ewe Msaliti uliyehujumu Chadema na Wananchi waliokupa Uongozi , iwe Uongozi wa Kijiji , serikali za mitaa , udiwani , ubunge ama uongozi wowote ule kwa vile uliahidiwa Ukuu wa Mkoa , au Ukuu wa Wilaya , Ubalozi ama uliahidiwa chochote kile , basi kaa tayari kwa GHADHABU YA MUNGU JUU YA USALITI WAKO ULIOUFANYA , wala usije kumlilia mtu yeyote .

Sasa ni dhahiri kwamba kila msaliti atalipwa usaliti wake kwa kung'olewa kwenye uongozi aliopewa na Chama cha Ugenini , Hamuwezi kuwasaliti watu waliowapigania kwa jasho na damu kwa sababu ya vyeo vya kupita , mliwezeshwa kwa gharama ya maisha ya watu kuwa Wabunge na viongozi wa kuheshimika kwenye chama , sasa baada ya kununuliwa kijinga mkaamua mliyoyataka , sasa kaeni mkao wa kula , WANAFIKI WAKUBWA NYIE

Taarifa nilizonazo ni kwamba Tayari mikeka mbalimbali imeandaliwa na wale wale waliotumika kuwanunua , jiandaeni kung'olewa , Tulipowaambia Chadema ni MPANGO WA MUNGU hamkuelewa , sasa bila shaka AKILI ITAWAKAA SAWA .

KWA MUJIBU WA VITABU VITAKATIFU , USALITI NI LAANA INAYOTAFUNA HADI KIZAZI CHA NNE .
Jengeni Chama sasa.

Hali ya CCM yangu ni tete, werejesha old gang wakiamini bado wana ideas how to tame wananchi kwemye ballot box decision.

CHADEMA mnapaswa sasa kuondokana na siasa za uanaharakati mjenge state political movement.

Wasaliti watabakia kuwa wasaliti siku zote
 
Chadema iko nchi nzima kuanzia mijini hadi maporini , tunasubiri kuanza mikutano ya hadhara
 
Chadema iko nchi nzima kuanzia mijini hadi maporini , tunasubiri kuanza mikutano ya hadhara
CCM ipo nchi nzima na bado imeshindwa kuongoza vyema.

Kuwepo ama kusambaa kwa nchi nzima bado kunahitajika ujengaji wa uwezo. CHADEMA kinapaswa kufocus kutwaa dola na siyo kupambana na dola.

Hawa wanaowakandamiza leo, watakuja kuwapigia saluti mkishapewa dhamana na wapigakura.
 
Taarifa nilizonazo ni kwamba Tayari mikeka mbalimbali imeandaliwa na wale wale waliotumika kuwanunua , jiandaeni kung'olewa , Tulipowaambia Chadema ni MPANGO WA MUNGU hamkuelewa , sasa bila shaka AKILI ITAWAKAA SAWA .
Ningeielewa maana ya hii taarifa naamini ningeongeza maarifa!
 
Back
Top Bottom