Laana ya mwanamke

Hapana, maumivu yale kidogo nione kifo hapana, machozi yale aliyofurahia kuyaona kipindi kile wacha yamloweshe.
Dear even if you will let him go still yatammlowesha na moto WA Yesu pia atakutana now .. Trust me.. Ukimmhold utakosa ile package ya moto ... Please try to let him go and repent then utakuja kuniambia kitachommtokea ni zaidi ya hilo la kuloweshwa... But I know one thing you cant do on your own without God ... Ask God to heal you... Pole sana .. Thanks..
 
Unajua ni heri umuache mtu ikiwa amekukosea ama anakufanyia visa vya hapa na pale ambavyo havivumiki lakini from know where unamuacha mtu kisa papuchi/gegedo jipya tena wala hujali hisia zake....

Mbaya kucheza na hisia zamtu,sawa utamuumiza lakini muda utafika atapona ila usiombe kibao kigeuke kwako sahiyo mwenzio ameshapata wa kumsahaulisha na kumfuta machozi.
 
The fire of Jesus Lina mburn bado ...People like that hata waje kuoa ni lazima they will suffer .. Unless they repented to that person, God and be born again... . That's why I love this God... Anakuonyesha Fire here first in earth ( huu anasubiri uwe umesahau kidogo ulichokifanya ) before hujaonja ule WA juu uwiiiii... Lord help us.. Thanks ..
 
Pole sana mpwa hayo ni mapito tu.....
 

Ooh yes, very true.. Hhaaaaahhaa.. Umenikumbusha mbali sana... Ooh Lord help me... Pole Sana.. Thanks.
 
Hii kweli kabisa hata watu Wa Dini husisitiza sana kuhusu Ku disapoint mtu
 
Kuna kitu kama hicho pia wengine ni malaana ya ukoo familia na VITI VYA ENZI wengine ni maagano,ushirikina na WENGINE NI MALANGO
 
Hili tatizo limenikuta na linaendelea kunitesa mpaka sasa wanawake wengine ni balaa halafu ving'ang'aniz kudadekiiiii
 
Reactions: 7ve
Huyu azidi kuitwa Mungu my dear,humpatia kila mtu iliyo haki yake. Kila mtu huvuna alichopanda Tuwe makini sana na vile tuwatendeavyo wengine
 
Kuna kabila Moja lina msemo kuwa Mke/Mme wa Kwanza ana uwezo wa kutoa laana sawasawa na Wazazi wako endapo utamkosea kupita kiasi. Hiyo inaapply hata kwenye mahusiano tu ya kawaida
 
Mmmmh hamna cha laaana wala nini kwanza hao wanawake wanajuaga tu kuacha laaana lakini hawajui kuachapesa ulizo qahonga mda wote wa mahusiano alafu mkuu kama alikuacha biashara zikayumba vpi kama angekuacha ukiwa mfanyakazi wa serikali inamaana mshahara usingeingia. Hamna kitu kama laana yote hayo ni menta creation thing. Mamaako hakukuachia laana Yesu alikuja kufuta maagano na laana hakuna mtu anaweza kukulaani ifute kwa jina la Yesu hakunaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Reactions: 7ve
Huyu azidi kuitwa Mungu my dear,humpatia kila mtu iliyo haki yake. Kila mtu huvuna alichopanda Tuwe makini sana na vile tuwatendeavyo wengine
Amen.. Very true haswa kwenye mioyo, hisia, mapenzi na mahusiano... Thanks...
 
Ni vigumu kujua kuwa dunia ina mambo hadi litakapo kukuta jambo....
 
Amen.. Very true haswa kwenye mioyo, hisia, mapenzi na mahusiano... Thanks...
Teh maana hapo kwenye hisia ni majanga

Hisia zimekua changamoto nyingine ndiomana wakati mwingine zinatuponza. Kila mara unapenda kujaribu kwingine bila kukumbuka kwamba hata huyu unaemuona hakusisimui leo nae alikua anaweka moyo wako hot muda wote mlipoanza....
 
Hakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
Unapaswa kusamehe coz kwa namna nyingine unaumia kuona yupo ivyo kwa sasa kwa sababu unampenda thus why hauwez msamehe .. Msamaha ni njia sahihi ya mafanikio kwako na kwake.. Naamin 80% ya vijana wa saiz kuanzia 20-35yrs wengi wao wana kidonda cha kuumizwa kwa jinsia zote mbili iwe ameoa, kuolewa au yupo ndan ya mahusiano..

Naungana na wenzangu wanaojua nafasi ya mwanamke mbele ya Mungu, naamin Mwanamke ni mwenye baraka kubwa zaid katka maisha ya mwanadamu coz kapewa uwenzo wa kufanya vitu vingi kuliko mwanaume... tukiachana na mafundsho ya dini, VIJANA WA KIKE NA KIUME tunaitaji kuangalia zaid moyo unataka nn na sio macho yanataka nn!!..
 
Mama, mamaaa acha tuu dear I don't want to remember it again... Thanks...
 
Mie moyo wangu una kisebengo, hata mtu anitende vipi, nitamsamehe tu kwa moyo mmoja. Najua kulia mimi jamani, but Nikimaliza tu nashusha pumzi "Mungu Ahsante kwa yote", afu namalizia kale kamsemo kangu "I don't lose people, people lose me" lol.
Ntakuwa tu na hasira wiki za kwanza, hapo mtu asinitafute sio kwa hilo povu ntakalomtolea, but huyo baadaye nasamehe na kusahau. Kukaa na kinyongo moyoni kunaniumiza zaidi mimi mwenyewe na hakuna kitu nachovalue kama my peace of mind, siruhusu mtu au kitu kiniharibie furaha yangu, Never. And thank God moyo wangu una space tu kwa ajili ya Mungu na kwa ajili ya watu wachache ninaowapenda sana. No space kwa ajili ya chuki au kinyongo

So tujifunze tu kusamehe hata bila kuombwa msamaha.
1. Ili tusizuie baraka zetu
2. For your peace of mind. Kwa nini mtu mwingine akukoseshe amani? She/he isn't that much worth. Afu imagine kuishi juu juu kusubiri mtu aanguke, bahati mbaya kuna muda kila unavyosubiria aanguke ndo yeye anazidi kubarikiwa na msamaha hakuombi hahaha
3. You have learnt your lesson. Kuna muda we learn some lessons in a very hard way, kiasi kama ingekuwa unaambiwa tu kwa maneno bana kuna A, B, C usingeelewa hadi yakukute. Despite maumivu na Kila kitu, lakini kila mahusiano yana somo nyuma yake. Shukuru Mungu umepata somo lako mapema, litumie vizuri.

Mnaotenda wenzenu, endeleeni tu... mtakipata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…