Laana ya kumnyanganya mzee sumaye shamba lake mtaipata karibuni

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,720
2,000
Laana ya kunyanganya mzee sumaye shamba lake,mtaipata hivi karibuni,mzee sumaye pesa yake ya kiinua mgogo,amenunua kashamba kake,ka kufugia ng'ombe wake,na mbuzi alfu mnamnyanganya?
Mtapigwa,na ukame mwakani,mpaka mrudishe shamba la watu
 

Namge

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,231
2,000
Amefata taratbu.. Na anakidhi vigezo... Na dhambi zake ametubu.. Ili hyo laana ipite...
 

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,485
2,000
ukame hauta sababiswa na sumaye kunyang'anywa shamba ila kama serikali imetumia mabavu kumnyang'anya wakati ni haki yake litakuwa si jambo jema hata kidogo

haki ya mtu haipotei aende mahakamani.
 

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,720
2,000
ukame hauta sababiswa na sumaye kunyang'anywa shamba ila kama serikali imetumia mabavu kumnyang'anya wakati ni haki yake litakuwa si jambo jema hata kidogo

haki ya mtu haipotei aende mahakamani.
Huwezi kudhulumu,shamba la MTU kama mzee alfu ukalala usingizi nzuri
 

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,720
2,000
Mwakani kutakuwa,na ukame,na moja ya sababu ya ukame ni dhuluma ya shamba la mzee sumaye
 

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,485
2,000
Huwezi kudhulumu,shamba la MTU kama mzee alfu ukalala usingizi nzuri
Mungu hawezi kuwataabisha watanzania milioni kadhaa kisa mtu mmoja aliye pokwa shamba

LABDA UNGESEMA HIVI HAO WALIO MNYANG'ANYA SHAMBA LAZIMA WAKUTANE NA HASIRA YA BWANA

pia nikukumbushe kitu hali ya hewa ilitabiriwa mapema mwaka huu kuwa kutakuwa na mvua chache hata kabla sumaye hajakumbwa na hiyo kadhia so ukame hauepukiki

usije rudi hapa na kusem eti umesababiswa na hiyo shida iliyo mpata.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom