Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Babu,uliniasa daima niwe mwerevu ktk yote/wote.
Babu,uliniasa niwe na SUBIRA.
Babu,ulinikanya nisiwe na KIBURI.
Babu,ulinikatalia kamwe nisiwanyanyase wenzangu eti kwa sababu tu ya UKUBWA wangu.
Babu,uliniasa nisiwe mtu wa kutaka SIFA na MJIVUNI eti tu mimi ni KIONGOZI ktk jamii inayonizunguka.
Babu,hukutaka kabisa niwe na KISASI!
Babu,ulitaka DAIMA niwe mtu wa HEKIMA na KUMTUNZIA HESHIMA yeyote awaye ktk lolote nitalo amua kumhusu yeye.
Babu,ULINIPENDA!Babu ULINISITILI kwa yote yaliyo mapungufu yangu-hii ili tu yawe DHIHILISHO kwangu yale yote uliyoniasa.ASANTE BABU.
AJABU babu nilihisi unanionea na kuninyasasa na hata wakati mwingine niliona unanipotezea mda tu ktk mashauliano hayo.Nilikuchukia,nilikusonya!KABISA sikupendezwa na WOSIA wako.Nilikuona mtu uliyepitwa na WAKATI na kwa sababu hiyo wosia wako niliupiga TEKE!
MATOKEO yake LEO nawanyanyasa,nawatesa,nawatisha,nawasekwa lock-up wale wote walioupande wa kushoto kwangu-SIWAPENDI!Sijali na sikumbuki tena WOSIA wako.
Naufurahia UFALME nilionao LEO.Huku nikijiaminisha milele nitakuwa.Sioni wa kunitoa tena PAHALI hapa nilipo.Na yeyote atakaye,cha moto atakiona!
Wale wote walio upande wa mkono wangu wa KUUME,fulahini.Hayupo awaye yote na UWEZO wa kukupa TABU.Hata akiwa,cha moto atakiona!
Shauli yako BABU,siijali LAANA yako.
Watanifanya nini walio upande wa kushoto kwangu?!Ninao uwezo wa kuwafuta na kuwafukuzilia mbali ndani ya mkoa wangu niliouumba mimi!
Nb
FUMBO MFUMBIE MJINGA!)