laana toka kwa mwanamke baada ya kuniacha

laana toka kwa mwanamke baada ya kuniacha

Hizo Mbwembwe tu huwa akujaza uwoga ili umrudie na akumiliki kimwili na kiakili...ata usiogope mim pia yameshawahi tokea....[emoji4] [emoji85]
Wewe ni Ke au Me? sababu ya kukuuliza hapo kwenye wekundu.
 
Ebuu letee namba yakee...Suala dogoo kama hiloo arifuu unaacha mtoto mzuri...!!??
 
Laana sijui kurogwa hayo mambo mimi siamini kabisa, Kama kweli kuna laana basi mimi ningelikuwa naropoka kama Baba Jessica😀😀
 
Ucjal hakunaga laaana itayompata m2 Mungu acbark.. Kama ni kumuacha kwa ajil ya kuokoa maisha yako itamrudia tena mara mbil yake
 
Sasa unaogopa nini kama hujamkosea?
Ingekua kila laana inafanya kazi watu wangetembea na papuchi kwenye paji la uso.

Jichunguze mkuu! Umemuacha kihalali au ulikua unfair?
 
Sasa unaogopa nini kama hujamkosea?
Ingekua kila laana inafanya kazi watu wangetembea na papuchi kwenye paji la uso.

Jichunguze mkuu! Umemuacha kihalali au ulikua unfair?
[emoji23] Papi kweli umeuwaa
 
Unaongozwa na hofu moyoni mwako,si kila kitu binaadamu tumaweza. Ongea na Mungu akuongoze uishinde hpfu hiyo na utakuwa huru. Kwaniculimkuta au wewe ulikuwa bikra? Yeye s wa kwanza na wala wewe si wa mwisho,lazima maisha yaendelee
 
wakuu

Baada ya kushindwa kuvumilia vitimbwi vya huyu mwanamke niliyedumu nae tangu mwaka huu uanze, kwa sasa nimeamua kumpiga chini "kumuacha" kwani kila lenye mwanzo lina mwisho wake

Yaliyonishinda kwake ni mengi, likiwemo lile la kunilazimisha kuzama chumvini
Hivyo nimeachana naye na kanitupia laana za kutosha hadi najawa na hofu

kanilaani vikali sana kwamba sitakuja pata mwanamke mzuri mrembo na mwenye upendo wa dhati kwangu zaidi yake

ameongeza kuwa, lazima laana ya kuteswa na mpenzi mpya inipate pia

wakuu naogopa maumivu ya mapenzi, vipi hii laana toka kwa huyu mwanamke ambaye nimemshindwa huku yeye bado ananihitaji sana haiwezi nipata na nikapata maumivu au kukosa wa mapendo kama au hata zaidi yake

wajuvi, hizi laana huwa zinamashiko kweli?
 

Attachments

  • FB_IMG_1492630378636.jpg
    FB_IMG_1492630378636.jpg
    41.2 KB · Views: 22
Vice versa z true, Huyo atakua amejilaani mwenyewe kwa upuuzi wake wa kutaka kufanyiwa mambo ya kichafu na pengne hata ni dhambi ikiwa kweli ulimpenda
 
Sidhani kama hiyo ndo sababu tuu.
Kama kuna sababu tofauti na hiyo laana hizo zitakupata sana tuuu

mkipendwa pendekeni, mtu anajifanya mjinga akupende ila uoni haya??

Ulaaniwe wewe mwanaume usiyeheshimu hisia ma mapenzi ya dhati kwa mpenzi wako.
 
Daah!! Tunaumbwa tofauti,kuzama chumvini mtu unaona nongwa.. Hiyo laana lazima ikufike, kaombe msamaha afute kauli zake..!!
hakuna haja ya msamaha

eti doa la kuku halimpati mwewe
 
tunalaanigi tu sababu ya kutapa tapa tu lakini haijawahi mpata mtu .. me kuna walio nilaani sitapata mwanaume atakeye nijali kama wao lakini ndiyo nzaidi kuneemeka tu ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom