Laana na kuacha(kupiga kibuti)

Laana na kuacha(kupiga kibuti)

Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga!Ni kweli laana inawezekana ipo,kuna dada mmoja alikua anafuatwa ili aoelewe.Kila aliyemuaprochi anamkatalia wakati yuko singo,wamwisho alikua tajiri mmoja hapa town.Nayeye alitoswa,alimuambia utanikumbuka.Mpaka sasa huyo dada kafika 42,bila mume wala mchumba. Sasa ana psychological problem,

Dah!!!.!.
 
Sasa ukweli ni upi?na kwa mazingira ambapo tayari mtu ameshaweka matumaini?Ni yupi yuko tayari kuukubali ukweli mchungu wa ya kwamba sikutaki tena?
 
Laana ipo sana tu na zambi juu yake.
 
Live by the gun, die by the gun?... maybe
BUT
Ain't it better kuelezea ukweli than living the lie.., kukaa na mtu au sacrifice ili tu usimuumize is delaying the inevitable, ni bora kuachana when still friends kuliko kufanyiana visa, just cherish the moment and all of you will remember the goods times you had (forever and ever is very rare nowadays)
 
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga!Ni kweli laana inawezekana ipo,kuna dada mmoja alikua anafuatwa ili aoelewe.Kila aliyemuaprochi anamkatalia wakati yuko singo,wamwisho alikua tajiri mmoja hapa town.Nayeye alitoswa,alimuambia utanikumbuka.Mpaka sasa huyo dada kafika 42,bila mume wala mchumba. Sasa ana psychological problem,
psychologically and scientifically mwanamke akiwa 23-29 hajaolewa hapo lazima anapatwa na msongo wa mawazo...so nakubaliana na hoja yako..chaliii...daaaah....nyodo zinawaponza hawa watu...bhana...kha......
 
Wafrika tunazidi kuwa maskini kwa kuamini upuuzi kama huu.
 
Ninachoamnini kama ni uchumba ukipiga chini hakuna laana...na kama ni ndoa ukipiga chini kwa kufuata sheria haina laana pia....
 
Nahisi ni kukosa maarifa na kushindwa kutumia muda wetu vizuri kuwaza, kuna tofauti kubwa sana ya urafiki, uchumba na ndoa. Ni lazima kuangalia pia situation coz huwezi kulazimika kuishi na mtu hata kama you dont match kwa jinsi yoyote ile kwa kuogopa laana. Nafikiri tujaribu kuchambua mambo vizuri

Wafrika tunazidi kuwa maskini kwa kuamini upuuzi kama huu.
 
Bandugu,

Nimekuwa nikijiuliza swali hili sipati jibu.Hivi kuna uhisiano wa mkosi na kumuacha au kuachwa na yule ambaye mlishakubaliana kuwa atakuwa au angekuwa ubavu wako?Wengi wetu tumekuwa tukidhani na pengine kuwa na fikra kuwa,kitendo cha kumbwaga yule mtu aliyeweka matumaini juu yako kinaweza kuleta mkosi na pengine laana katika maisha yako ya mahusiano.

Ndio kabisa laana ipo mkuu.Ndio maana unashauriwa kwenye mahusiano kama huna mpango wa kumuoa usiweke promise yoyote.Hata waswahili wanasema AHADI NI DENI.Kama uliweka ahadi ni lazima uitimize vinginevyo ndo kuzua laana za bure.OGOPA SANA KITU PROMISE NI HATARI SANA.
 
Sio laana, guilty conscience.........esp. when did the person wrong.
 
Back
Top Bottom