Lakwata
Hivi kabla ya kuwajibika huwa wanakuwa na uhakika hawa jamaa wamelala? au wanawadharau kwa kuwaona ni wadogo? Hii mtu weka chumba nyingine la sivyo kitu watakachokuja kukifanya sebuleni mbele ya wageni watatamani ardhi ipasuke. Halafu hako karijali kanakonyanyukia ndio kanaonekana kataalam kuliko huyo mwali mtarajiwa
Samaki hafundiswi kuogelea wala mpare hafundishwi ubahili na uchoyo. mshana jr upo hapoo!Vimeona wapi? Vimejuaje? Nani kavifundisha? Vinajua maana yake?
Vimeona wapi? Vimejuaje? Nani kavifundisha? Vinajua maana yake?
Yeah hata huku pia kanabwipu bwipu tuu