Lemutuz bana hahhaaaa eti na wewe kimekuuma,mwenzio amepewa siku 14 ajieleze, wewe unamshauri ajieleze kabla hata masaa 24 hayajapita tena jamiiforum,tweeter na fb?unafikiri chadema wanamasihara tena naye?hata Zito mwenyewe anajua hapa hakuna masihara tena.kama CCM wangekuwa serious hata kwa asilimia kumi tu ya hawa jamaa tungekuwa mbali sana.