La mgambo limelia jamani natangaza sensa ya wanaume wasiopenda mawigi!

Mimi ni mwanamke ila kuna wanawake wengine wanakera yaani wanavaa mawigi ambayo hayaendani na rangi, sura na mengine hayajashonewa vizuri ilimradi tu kafunika nywele halisi..mawigi mengine ya ki-blonde na yamefika hadi kiunoni, mweeh!!...halafu tatizo lingine ni kuwa wengine wanavaa/shoea mawigi kumbe nywele za ndani zipo kiholela yani wigi likidondoka aibu yao..kuna wanawake wengine mawigi yanawatoa vile vile..
Nashukuru kuwa na nywele fupi na sijawahi kuvaa wigi, kwanza joto kali dar..

Asante dada!
 
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa mwenzenu. Sijazoea kelele.

Mi napenda mwanamke awe nywele zake asilia, tena nywele fupi
Short haircut.
Sio unamwambia twende kuoga halafu anakwambia yeye kichwa chake hakitakiwi kuloa maji
Nakereka balaa
 
Mi napenda mwanamke awe nywele zake asilia, tena nywele fupi
Short haircut.
Sio unamwambia twende kuoga halafu anakwambia yeye kichwa chake hakitakiwi kuloa maji
Nakereka balaa

Raha ya kuoga kichwa kiloe maji...hapo ndiyo napendea nywele zangu mana kila siku naosha...weaving hapana kabisa!!
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Mkereke kwa vitendo si maneni. Mkimuona beyonce mnasema anavutia mnadhani angekuwa na kipara mngegeuka!

Hamjani convince bado. I am putting myself extremely attractive!

Kuna wanaume wanawambia wake zao ooh usiweke dawa mimi hainivutii. Ukikuta kimada wake full mawigi plus madawa!

Anamwambia wife hajihachie ili ahakikishe hamna anayemtokea!
 
I have just bought one. Very expensive one!
<br />
<br />WIGS WIGS NAUSEATING
NO MATTER HOW EXPENSIVE! I have yet to see a white woman wearing a "kiplipili" wig but look at the multitudes of black women donning long straight wigs reaching as far down their big----. What a shame!
me
 
Mkereke kwa vitendo si maneni. Mkimuona beyonce mnasema anavutia mnadhani angekuwa na kipara mngegeuka!

Hamjani convince bado. I am putting myself extremely attractive!

Kuna wanaume wanawambia wake zao ooh usiweke dawa mimi hainivutii. Ukikuta kimada wake full mawigi plus madawa!

Anamwambia wife hajihachie ili ahakikishe hamna anayemtokea!
umemaliza kila kitu mpendwa,halafu akimuona alojikwatua anakuambia fulani linangara hilo weye ukijiangalia kama jungu la shughulini inahusu!
 
Wewe wadhungu wanavaa mawigi sana labda huwajuhi vizuri. Unadhani wote wana nywele nzuri?

<br />
<br />WIGS WIGS NAUSEATING
NO MATTER HOW EXPENSIVE! I have yet to see a white woman wearing a "kiplipili" wig but look at the multitudes of black women donning long straight wigs reaching as far down their big----. What a shame!
me
 
Raha ya kuoga kichwa kiloe maji...hapo ndiyo napendea nywele zangu mana kila siku naosha...weaving hapana kabisa!!

Sema mama, sema usikike.
Me love this so much
The Following User Says Thank You to BelindaJacob For This Useful Post:

CPU (Today)​
 
Tena kwa kudeka, ni kumwambia sugua vizuri kichwa wakati akiosha na shampoo..

Yaani we acha tu
Ni naboreka kweli, eti mtu kichwani ananawa uso tu
Ukimuuliza eti nywele zitaharibika.
Sasa sijui kipi kinaharibu nywele, madawa makali anayopaka kichwani au maji ya kuosha mwili??
 
Nakushauri kabla ya kuhacha muulize partner wako kwanza. Usije fanyia kazi ushauri wa JF ikala kwako. I am sure you are not afer pleasing everyone but rather those who's feelings matter!

Kuanzia leo naacha, sikujua kama wanaume hampendi.
 
A long straight softy wig on the head but farther down below a frizzy growth. DISGUSTING AND WHAT A CONTRADICTION! African women please stop this wiggy madness. NAUSEATING.
 
Nakushauri kabla ya kuhacha muulize partner wako kwanza. Usije fanyia kazi ushauri wa JF ikala kwako. I am sure you are not afer pleasing everyone but rather those who's feelings matter!

Ningefurahi kama ingetokea siku moja wanawake tukawa na confidence japo ya kufanya mambo kwa ajili yetu kwanza na si kwa ajili yakumplease binadamu wa kiume! Kama manywele ya bandia yanakufanya ujisikie kuwa ni mrembo go ahead a wear them;

but kama ni mrembo toka moyoni n u r confident na u don't feel like urembo wako unakuja ukifanana na muhindi au Mzungu achana nayo! Huyo mwenzio kama yuko attracted na manywele hayo he can be better of with wadosi, wazungu or sokwe!
 
Ningefurahi kama ingetokea siku moja wanawake tukawa na confidence japo ya kufanya mambo kwa ajili yetu kwanza na si kwa ajili yakumplease binadamu wa kiume! Kama manywele ya bandia yanakufanya ujisikie kuwa ni mrembo go ahead a wear them;
Huo ndio udikteta wa mapenzi.
 
Kuanzia leo naacha, sikujua kama wanaume hampendi.

Dada sio siri asilimia kubwa ya wanaume wengi hatupendi mawigi/weavings......naweza kucompromise kama weaving yenyewe iko bomba hadi inakufanya uamini kuwa hizo nywele ni zako mfano wa Beyonce. Lakini hakuna kitu kinakera wanaume tulio wengi kama tukiona mdada amevaa wigi/weaving tena kwa macho tu unajua
 
Back
Top Bottom