La mgambo limelia jamani natangaza sensa ya wanaume wasiopenda mawigi!

mmnh hata mie siyapendi madude hayo...usimpate mdada mweusi piiiiiiiiiii kavaa liwigi la blonde!! yaani wacha tu..... halafu yana harufu mweh!
 
Dah! sasa kabaki nani? nyinyi kinamama ndio mnaosababisha global warming na mawigi yenu. Aaaargh!

Haha hah, imagine ecological footprint ya utengenezaji wa hayo madude! Halafu waathirika wakuu ni kinamama masikini wa vijijini ambao huangaika kutafuta Maji kisa mito imekauka effects za global warming; usisahau upotezaji as nguvu kwa kulima Mazao ambayo hukaukia shambani (ukame na aridity)
 
Nilisha sema narudia tena kusema Jamani SIPENDI MAWIG, BORA GIRL FRIEND WANGU ANYOE KIPARA NGOTO..
 
Naomba nihitimishe sensa yangu kama ifuatavyo:

Kwa ujumla wachangiaji walikuwa wengi. Kulikuwa na jumla ya wachangiaji 168 ambao asilimia 89 wameniunga mkono kwamba hawataki mawigi, asilimia 9 walikuwa kinyume nami kwa maana kwamba wanaunga mkono mawigi na asilimia 2 hawaeleweki kama wanaunga au wanapinga. Kwa hiyo, what I can recommend to my dearest sisters ni kwamba from now on waachane na mawigi. Wale ambao vichwa vyao vina kasoro fulani basi wanaweza wakaendelea kuyavaa hayo mawigi. Asanteni sana kwa michango yenu.
 
Back
Top Bottom