La Liga-Barcelona hai,Real Madrid hoi...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Mabao mawili ya Messi,moja la Adriano na moja la David Villa yalitosha kuipa ushindi Barcelona wa 4-1 nyumbani kwa Getafe. Bao la Getafe ni la kujifunga la beki Javier Mascherano. Wakati huohuo,Real Madrid chini ya 'The Only One' ilikandikwa 1-0 ilipocheza ugenini kwa Sevilla. Ni bao la dakikika ya 6. Sasa Madrid yazidiwa alama 8 na Barcelona. Ni hayo tu Wakuu...
 
game zote mbili nilicheki mkuu ila ya madrid ndio ilinifurahisha zaidi maana walifungwa mapemaaaa?? Walihaha mwanzo mwisho lakini wapi?? Ila nilishangaa sana game kuisha bila red card hata 1
 
Ni kweli. Kulikuwa na ubabe mwingi. Hadi Higuin naye kalimwa kadi. Pepe kama kawa. Sevilla walilinda Kichelseachelsea..
 
barcelona wanajua sana mpira, getafe ni timu hatari sana kwa ile 1st ileven ya jana ya barcelona nilijua coliseum estadio wale barcelona watachezea kipigo kama walivyopigwa madrid, but kumbe yule tito vilanova nae anafalsafa zake nzuri tu na ametokea kumwamini sana adriano coreila kwa sasa, kocha kishaanza kuwamudu wachezaji wake vizuri mno,

madrid kinachowatafuna nikukosa misingi mizuri ya long term kama ilivyokuwa enzi za delboiscou, madrid ya kina zizu hakuna tena kwa sasa, madrid hii imekuwa ya kimsimu msimu, na nawaambieni wakiboraonga tena hasa kwenye champions league i real know spanish people belive me or not, mourinho lazma aondolewe na ronaldo huwenda kweli akauzwa! madrid huwa ni mzuri sana away hasa kwa timu kama hizi sevilla,valencia,malaga,getafe,ath madrid ila this time anaonesha udhaifu mkubwa sana kwao.
 
Chini ya kapeti,kuna tetesi za mgogoro ndan ya camp ya Madrid,Wareno Vs Waspain and probably kuna ukweli hapa ukichek the way team inacheza. Iko wapi madrid iliyocheza na Barca kwenye supercup?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom