passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,838
- 13,072
TrueWanasiasa wa Tanzania wanalakujifunza kuhusu issue ya Epstein. Mjue kuwa mambo yenu machafu mnayofanya ili mbaki madarakani kama mauaji ya October 29 na ushetani mwingine mwingi siku moja yatadhihirika hadharani na maisha yenu na familia zenu yataisha kwa aibu.
Kila mtu atawakataa.
Ivi wewe ulitaka Ile oct 29 serikali ikae tuu,iangalie zile fujo,fala kweli wewe mje tena muandame sasaWanasiasa wa Tanzania wanalakujifunza kuhusu issue ya Epstein. Mjue kuwa mambo yenu machafu mnayofanya ili mbaki madarakani kama mauaji ya October 29 na ushetani mwingine mwingi siku moja yatadhihirika hadharani na maisha yenu na familia zenu yataisha kwa aibu.
Kila mtu atawakataa.
Nakuona... ajira mpya kaziniIvi wewe ulitaka Ile oct 29 serikali ikae tuu,iangalie zile fujo,fala kweli wewe mje tena muandame sasa
wale vijana hawakustahili kuuawa kama wamefanya makosa mlitakiwa kuwakamata.kwa sababu mmeua mmelaaniwa na hamna namna mtaepuka karma.anayestahili kutoa uhai wa binadamu ni Mungu tu.ukitoa damu ya mtu malipo ni damu yako ndiyo maandiko yanavyosema.Ivi wewe ulitaka Ile oct 29 serikali ikae tuu,iangalie zile fujo,fala kweli wewe mje tena muandame sasa
Huwezi kuficha uovu kila siku kuna siku yatadhihirika tu na utaaibika na kuumia kwa sababu shetani Hana urafiki wa kweli na binadamu.utafanya mapenzi yake lakini mwisho wa siku anakuharibu.Kwa nyinyi mnasema la kujifunza ila kwa wanaoyatenda wanabadili mbinu!.
Yaani wanatumia nguvu kubwa sn mitandaoni kujaribu kulamisha watu waone serikali ilikosea sn kukabiliana na fujo zileIvi wewe ulitaka Ile oct 29 serikali ikae tuu,iangalie zile fujo,fala kweli wewe mje tena muandame sasa
JKEpstein ndio nani tena huko dar kwenu
JK=Jangiri Kikwete?
Kwahiyo vyombo vikubwa duniani kama BBC zinatoa habari za udaku au yule mwanamfalme wa uingereza aliyejiuzulu amejiuzulu kwa sababu ya udaku?maccm hamjitambui ila soon akili zitaanza kuwarudi.Yaani mnafuatilia habari za Udaku mnafanya kuwa agenda ya Taifa ?Epstein Ni udaku ni mambo ambayo hayawezi kudhibitishwa hicho ki organisation kimekua kizua uongo Dunia nzima.
View attachment 3544320
Huwa najiuliza hata risasi za MIGUU TU walishindwa?wale vijana hawakustahili kuuawa kama wamefanya makosa mlitakiwa kuwakamata.kwa sababu mmeua mmelaaniwa na hamna namna mtaepuka karma.anayestahili kutoa uhai wa binadamu ni Mungu tu.ukitoa damu ya mtu malipo ni damu yako ndiyo maandiko yanavyosema.
Mwizi anastaili kuuwawaHuwa najiuliza hata risasi za MIGUU TU walishindwa?
KUNA MAJIZI HII DUNIA KULIKO VIONGOZI, ANNA MAKINDA ALIPIGA PESA, AKAITA HELA YA MBOGA JE ALI ULIWA NA NANI?Mwizi anastaili kuuwawa