LA familia

Duu kweli mshana jr unamasihara na wapogoro
 
hapo kujua wa kwana yupi inabidi utumie Carbon 14, la sivyo ni mtihani mkubwa. Inawezekana hata wazazi wamesahau wakwanza kuzaliwa.
 
Enendeni mkazae na muijaze dunia halafu linakuja jitu na mavidonge yake eti uzazi wa mpango zaa mpaka mayai yaishe wengine tumezaliwa kumi mbili na wote wapo kila mtu na maisha yake na bi mkubwa ni mzima wa afya kabisa jitu linazaa katoto kamoja tu oooh uzazi wa mpango paaambaf kabisa
 
Duh! hiyo rangi nyeusi nimeikubali, adimu sana kwa sasa.
 
hapo kujua wa kwana yupi inabidi utumie Carbon 14, la sivyo ni mtihani mkubwa. Inawezekana hata wazazi wamesahau wakwanza kuzaliwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…