publito
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 551
- 616
Jamaa anajihamini sana, nakumbuka kipindi amewekwa chini ya ulinzi na wenzie na kawekewa bastola lakini jamaa anacheka tuNapenda Sana watu wanaojiamini kupitia za Berlin Ni kiboko ya madoa
Halafu huyu berlin si atakuja kufa kwa ugonjwa?