Executor
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 867
- 990
Ulichosema sipingi sana, binafsi kuna sence nilikuwa mpka naboreka kuzitazama lakini ndo filamu ya maigizo hainabudi kukubaliana nayo....Ni series nzuri ila technology ipo wicked sana, huwezi kuwa na hostes zaid ya 100,+halafu ukawa lead wote kama mtu mmoja, series ni nzr kwa maana ya story, ila ina wick sana kwwnye uwasilishaji, hasa technology iliyotumika, professor anavyo wahadaa highprofile interagency, kwa mtu ambae ameangalia series nyingi hasa za usa, akilinganisha na hii anaona uongo mwingi sana...
Chukulia vile tokyo alivyo okolewa na namna alivyorudi ndani, yaan police hawawez kuwa wazembe kiasi hicho, labda kwa span, maana hata kwa tz isingewezekana.
Kuhusu technology napinga, filamu nyingi za USA zinazohusu tech ni uongo mtupu no reality at all, lakini katika hii (money heist) uhalisia upo na ndo kitu ambacho....
Kuhusu Tokyo alivoingia ndani ya mjengo uongo ulikuwa pahala pake asee ila in other case police ni wazembe kweli tazama filamu za STRIKE BACK utaona jinsi maaskari walivoonekana jinsi gani ni wazembeee....