Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,124
Palermo naona ana kaswagg flan hivi, Berlin anapata hasira chap ila huyu Palermo anatabia kama Joker!.. Sema ujinga ni Shoga tu!.Swaga zile zile hawana tofauti
Palermo naona ana kaswagg flan hivi, Berlin anapata hasira chap ila huyu Palermo anatabia kama Joker!.. Sema ujinga ni Shoga tu!.Swaga zile zile hawana tofauti
Tell me about money heist. Ninayo kwenye externsl ila hua nadharau kuiangalia naons ya hovyo
Nimeangalia kidogo ep 1 nikasema ngoja niikaushie nitaangalia kesho maana sitakua bize.. s3 sina naona ipo 1 n 2Season 1 na 2 iko vizuri season 3 wameipoza kidgo ili season 4 moto uwake
Maana walkua wanaiba kistaarabu sasa wamegeuza moto
Mkuu yangu haina subs.. yaweza wezekana tukabadirishana? MoviesNdio naicheki hapaView attachment 1174638
Can't wait it.. Tomorrow naanza nayo asee ndio nayoyapenda hayaKuna jamaa anaitwa Proffesor kipindi mtoto alikuwa mgonjwa so most ya utoto wake akauspend kitandani. But baba yake alikuwa ni mwizi aliyekuja kufa kwa kupiga risasi alipoiba bank ili apate hela kumtibu dogo!. Hapo ndio hate ilipoanzia.
Professor akasuka mpango wa kuvamia kiwanda cha kutengeneza hela ili waibe mpunga mrefu kuwahi ibwa (kwa kuuprint wenyewe).
Ule mpango ulipokamilika akatafuta wezi wenye sifa special ili kuifanya ile kazi.
Siku ya kuwakutanisha akawaambia ili wakiiba wasije tajana basi kila mtu achague jina la mji kama utambulisho wake!. Hii itafanya mmoja akidakwa asiwe na taaria yoyote kuhusu majina ya kweli ya wengine.
Kitu special kuhusu Proffessor ni kwamba kila jambo mpaka mistakes zilikuwepo kwenye plan yake. Kila wanachofanya Polisi na wenzie alivipanga yeye!...
Season 3 baada ya kuwin kuprint mzigo wao na kupotea, dogo Rio na Tokyo wakaja zingua ikabidi Professor awaite crew upya waje msaidia Rio, ila real motive ya Professor ikiwa ni kulipa kisasi kwa kumuua BerlinCan't wait it.. Tomorrow naanza nayo asee ndio nayoyapenda haya
Naona iko bomba kama PB au sio?? Ungekua karibu ungenigawia hiyo ya S3 maana hua ni mvivu wa kupakua muvi hasa series afadhari ninunueSeason 3 baada ya kuwin kuprint mzigo wao na kupotea, dogo Rio na Tokyo wakaja zingua ikabidi Professor awaite crew upya waje msaidia Rio, ila real motive ya Professor ikiwa ni kulipa kisasi kwa kumuua Berlin
Hapo sasa ndio wakatumia mpango wa Berlin na Palermo wa kuvamia Bank of Spain, ishu imekuja kuna Inspector mpya kaja (Sierra) shes way crazy kuliko Raquel aka Lisbon.
Imebidi waopt matumizi ya nguvu baada ya polisi kumshoot Nairobi na Lisbon.
Ni bonge la Series
More than PB bahati mbaya haipo hollywood airtime ndogo!!..Naona iko bomba kama PB au sio?? Ungekua karibu ungenigawia hiyo ya S3 maana hua ni mvivu wa kupakua muvi hasa series afadhari ninunue
Hii DVD mkuu.Mkuu yangu haina subs.. yaweza wezekana tukabadirishana? Movies
2020 au 2021Part 4 lini?
Ndio nimepata wasaa niko naitazama hapa..More than PB bahati mbaya haipo hollywood airtime ndogo!!..
Ila ndo All time series iliyoangaliwa zaidi Netflix.
Weka series/movies tatu unazozikubali ili tuipime hii kauli yako ya "uhalisia" katika series/movies...Movie ya kijinga sana sijawahi ona!
Matukio yanajirudia saaanaaa lakini pia hayaakisi uhalisia. Maigizo matupu!
Tangu lini majambazi yana-negotiate na serikali wiki tatu nzima huku polisi wanasubiri kuvamia muda wote huo??
Totally crap!
Hutaichukia hiyo!!..Ndio nimepata wasaa niko naitazama hapa..
View attachment 1176606
Movie ya kijinga sana sijawahi ona!
Matukio yanajirudia saaanaaa lakini pia hayaakisi uhalisia. Maigizo matupu!
Tangu lini majambazi yana-negotiate na serikali wiki tatu nzima huku polisi wanasubiri kuvamia muda wote huo??
Totally crap!
Tizama homeland.Weka series/movies tatu unazozikubali ili tuipime hii kauli yako ya "uhalisia" katika series/movies...
HomelandNisamehe kwa kukuita wewe jamaa “fala sana” naomba uniambie movie zenye uhalisia ulizoangalia, unajua hata dhima za sanaa ya maigizo na filamu? naomba usitaje za kina kanumba