LA CASA DE PAPEL (Money Heist) S03: Tujikumbushe sehemu ya 1 na 2 na tutarajie nini??

Hii kitu usiichezee..
Screenshot_2019-08-18-19-03-53.jpeg
 
Kama hujaona S3 pleaaaaase usiangalie, narudia tena usiangalie.. Subiri mwakani ikishatoka S4 uziangalie pamoja! Utakonda kwa arosto..Muvi imeishia penye kusisimua mno. Kingine Professor ni fala sana hadi anaboa muda wote anatetemeka na kulia.

Mwanaume ni Palermo pekee
 
Haha

Palermo ndiyo Berlin mkuu!!??!!
 
Palermo ndiyo Berlin mkuu!!??!!
No. Palermo ni Character mwingine mpya ambae ndio incherge sasa ivi. Ila alikua rafiki yake Berlin (Alikua anampenda kimapenzi coz ni shoga). So issue nzimq A3 wanalipiza kisasi cha kifo cha Berlin kwa mgongo wa kumuokoa Rio. Imeishia Nairobi kapigwa risasi, Raquel kakamatwa, wanajeshi wanavamia Benki, Profesa analia hana la kufanya... Yaani qlosto tu subir itoke S4 uziangalie pamoja
 
Baada ya kuanza kula mzigo kwa Inspector aliacha kutetemeka, ila ni mtu mwènye pressure sana sababu y upendo kwa team yake
 
Kama hujaona S3 pleaaaaase usiangalie, narudia tena usiangalie.. Subiri mwakani ikishatoka S4 uziangalie pamoja! Utakonda kwa arosto..Muvi imeishia penye kusisimua mno. Kingine Professor ni fala sana hadi anaboa muda wote anatetemeka na kulia.

Mwanaume ni Palermo pekee
Penzi kitovu cha uzembe,Hahaa prof ana fail maana sa hivi hata Arturo anamzidi ujasiri,yani heist yote imekuwa compromised kisa kuchanganya kazi na mapenzi.
 
Kweli kabisa hii series inathibitisha huo msemo na Msemo wa Things fall apart..
Profesa sijui yuko vipi yaani. Muda wote wasiwasi.. ajifunze kwa Berlin na Scolfied. Nachompendea Palermo hua hana maneno mengi ni kutoa amri tu!
 
Wameharibu maana sa hivi wamekuwa kama waharifu wengine ile sympathy ya raia hawana tena
 
Kweli kabisa hii series inathibitisha huo msemo na Msemo wa Things fall apart..
Profesa sijui yuko vipi yaani. Muda wote wasiwasi.. ajifunze kwa Berlin na Scolfied. Nachompendea Palermo hua hana maneno mengi ni kutoa amri tu!
Tatizo plan ya sasa hivi haukuwa yake. Ndo maana haiamini 100% yaani yuko 50% 50% ndo maana walivyomdanganya kuwa wamemuua lisboa hapo hapo katoa order ya kushambulia kifaru. Ingekuwa ni Plan yake basi hadi hilo angekuwa amelicalcukate.
 
Pia hakujiandaa ndio maana alipenda apewe hata muda wa miezi mi4 ili apange... kiukweli pro kashafeli, raia hata wakichomoka mle ndani lazima wengi wadedi...
 
Back
Top Bottom