thanhtammongha
New Member
- Aug 15, 2019
- 1
- 0
Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini humo imemkamata kiongozi wa Upinzani Maryam Nawaz akiwa na binamu yake, Yousaf Abbas
Mamlaka hiyo imewamakata wakati wakiwa katika safari ya kuelekea katika Gereza la Lahore kumtembelea aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Pakistan, Nawaz Sharif
Maryam ni Mtoto wa Nawaz Sharif, anayetumikia kifungo cha miaka 10 jela kwa hatia ya rushwa kupitia kiwanda cha sukari cha Chaundhry anachokimiliki
Binti yake huyo anayefahamika kwa kumkosoa waziwazi Waziri Mkuu wa sasa wa Pakistan, Imran Khan anaweza kufunguliwa mashtaka kama yaliyomfunga Baba yake