Kyela: Wananchi waililia Bandari ya Itungi

Wananchi Wilayani Kyela wamesikitishwa na kusononeka baada ya kuambiwa kwamba Bandari yao waliyoitunza na kuipenda kwa miaka yote , nayo imechukuliwa na Waarabu wa DP WORLD

Huku wakibubujikwa na Machozi , wananchi waliopakana na Bandari hiyo kutoka vijiji vya Bujesi , Njisi , Ngonga na Kajunjumele wameonekana kukata tamaa kuhusu uwekezaji huo , hasa wakizingatia kwamba ni hivi karibuni Serikali ilitumia hela nyingi kujenga meli mbili za kisasa zilizotengenezwa na Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela Mwanza , Taarifa zaidi zinasema kwamba wananchi hao kwa umoja wao wanatafakari hatua za kuchukua ama Wamuachie Mungu aamue.

Taarifa za Bandari za ziwa Nyasa kubinafsishwa kwa Waarabu zimefichuliwa na Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe alipoongea na Waandishi wa habari kwenye Makao Makuu ya Chama chake jana na kwamba Bandari za Mbambay , Manda na Itungi nazo zimekwenda na maji kwa muda usiojulikana .

Mungu Ibariki Kyela .
Bandari ya Kyela ina nini mpaka ibinafsishwe? Hata km ni upumbavu kiwango hiki kinatisha, mi wenyewe naogopa kusoma ulichoandika, sijui ujasiri wa kuandika huu uchafu umeupataje. We unaumwa tena sana
 
Kama haina lolote mbona nayo wamepewa Waarabu ?
 
HONGERA Kwa CCM kwa kuwaletea maisha mazuri wana Kyela na kuweza kujenga nyumba nzuri za kisasa
Pale Ipande kuna maendeleo sana kwa sasa , kuanzia Pale Mpiki Kimbwala hadi Njugilo ni nyumba za kisasa tupu !

wewe ulienda huko miaka mingi .
 
Hivi huyu DP kwa nini abebe Bandari zote hata zile za mikoani, watanganyika tusimame kuungane tukizubaa tunakwenda kuolewa na hawa jamaa.
 
HONGERA Kwa CCM kwa kuwaletea maisha mazuri wana Kyela na kuweza kujenga nyumba nzuri za kisasa
mbona Mkuranga hawawapelekei maisha mazuri ?

FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Bandari ya Kyela ina nini mpaka ibinafsishwe? Hata km ni upumbavu kiwango hiki kinatisha, mi wenyewe naogopa kusoma ulichoandika, sijui ujasiri wa kuandika huu uchafu umeupataje. We unaumwa tena sana
Usingekuwa umeandika ningeandika kama ulivyoandika. Sasa donworld wachukue bandari hiyo kwa mzigo gani watakapoeleka hapo. Haya ndio matatizo makubwa ya upotoshaji.
 
Tunapenda kukufahamisha kwamba Bandari ya Itungi ni miongoni mwa alizopewa Mwarabu
 
Wananchi Wilayani Kyela wamesikitishwa na kusononeka baada ya kuambiwa kwamba Bandari yao waliyoitunza na kuipenda kwa miaka yote , nayo imechukuliwa na Waarabu wa DP WORLD

Huku wakibubujikwa na Machozi , wananchi waliopakana na Bandari hiyo kutoka vijiji vya Bujesi , Njisi , Ngonga na Kajunjumele wameonekana kukata tamaa kuhusu uwekezaji huo , hasa wakizingatia kwamba ni hivi karibuni Serikali ilitumia hela nyingi kujenga meli mbili za kisasa zilizotengenezwa na Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela Mwanza , Taarifa zaidi zinasema kwamba wananchi hao kwa umoja wao wanatafakari hatua za kuchukua ama Wamuachie Mungu aamue.

Taarifa za Bandari za ziwa Nyasa kubinafsishwa kwa Waarabu zimefichuliwa na Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe alipoongea na Waandishi wa habari kwenye Makao Makuu ya Chama chake jana na kwamba Bandari za Mbambay , Manda na Itungi nazo zimekwenda na maji kwa muda usiojulikana .

Mungu Ibariki Kyela .
Video ipo wapi!?
 
Ila wee jamaa 🤣🤣🤣🤣
 
We jamaa kwenye issue ya bandari nakuungaga mkono sana tatizo wewe ni keybord worries sana kyela yenyewe unaitetea kwenye kishikwambi chako tuu
Badala uje ukiamshe huku unapambana kwenye simu tuu. Shauri yako watauza na masyeto huku msalimie Mwanyamaki
La bandari lishaisha hilo.
Nyie endeleeni tu na ngonjera zetu butu mitandaoni
 
Wananchi Wilayani Kyela wamesikitishwa na kusononeka baada ya kuambiwa kwamba Bandari yao waliyoitunza na kuipenda kwa miaka yote , nayo imechukuliwa na Waarabu wa DP WORLD

Huku wakibubujikwa na Machozi , wananchi waliopakana na Bandari hiyo kutoka vijiji vya Bujesi , Njisi , Ngonga na Kajunjumele wameonekana kukata tamaa kuhusu uwekezaji huo , hasa wakizingatia kwamba ni hivi karibuni Serikali ilitumia hela nyingi kujenga meli mbili za kisasa zilizotengenezwa na Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela Mwanza , Taarifa zaidi zinasema kwamba wananchi hao kwa umoja wao wanatafakari hatua za kuchukua ama Wamuachie Mungu aamue.

Taarifa za Bandari za ziwa Nyasa kubinafsishwa kwa Waarabu zimefichuliwa na Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe alipoongea na Waandishi wa habari kwenye Makao Makuu ya Chama chake jana na kwamba Bandari za Mbambay , Manda na Itungi nazo zimekwenda na maji kwa muda usiojulikana .

Mungu Ibariki Kyela .
Mkuu usiwe na shaka, tutawaambia Malawi ziwa lote ni lenu chukueni ili tumukomoe huyu mwarabu!
 
Back
Top Bottom