kwnn ukiacha headphone kwny cmu chaji inaisha?

Headphone zinachukua power kutoka kwenye headphones jacks. Power ya umeme iliyopo kwenye nyanya za headphones husababisha nguvu ya umeme wa sumaku (electromagnet) kutengeneza mtikisiko vibration katika speed kubwa sana ambao husababisha sauti.
Kwa hiyo mechanism niliyokupa, inaonyesha kabisa kuwa headphones zinatumia power iliyopo kwenye device unayotumia ili zifanye kazi. So, ni vizuri kama usingeziacha kwenye simu kama huzitumii.
 
Jaribu kubadiliaha weka headphone nyingine uangalie kama betri inaisha ama la...hapa kuna mawili
1.headphone zako zina short so zina drain power kubwa kupita kiasi kinachotakiwa
2.Audio circuit ya simu yako ina leakage so power kumbwa inatumika wakati unachomeka headphone
Iwapo ukaweka headphone nyingine tatizo likaisha,basi headphone yako ndo tatizo
Iwapo utaweka headphone nyingine na tatizo bado basi simu yako ndo tatizo upande wa audio
 
kuna headphone za aina mbili 1. powered (Kama za motorola L series) . 2. non-powered kama za nokia. je zako ni zipi?
 
hii iko hivi,,,,,

moto.jpg

headphones ambazo sio powered kama za nokia,tecno,samsung etc etc hazisababishi simu kuisha charge.

Bali headphones ambazo ni powered zinachangia kumaliza charge.

TOFAUTI KATI YA HEADPHONES HIZO (Powered na nonpowered)

Powered Headphones:
zinahitaji vitu vifuatavyo ili kufanya kazi ..
  1. Power (DC volts like 3Volts).
  2. Input signal (simu ina act kama pre-amplifier na headphone inayo amplifier) ambazo zitafanyiwa amplification na headphone yenyewe.
hivyo hizi headphone zinakuwa na Circuit yenye amplifier kwaajili ya kukuza sauti inayotoka kwenye simu. na pia zinakuwa na Pre-amplifier kwaajili ya kukuza sauti inayotoka kwenye MIC kwenda kwenye simu wakati unapopokea au kupiga simu kupitia headset.

NONPOWERED HEADPHONE.
hazihitaji DC volt wala hazina Pre-amplifier kwenye mic.

SULUHISHO:
usitumie headphone za simu nyingine kwenye simu nyingine, Kwa mfano usitumie headphone za samsung kwenye tecno, au headphone za iPhone kwenye Samsung N.k

Kila headphone ina configurations zake ikiwemo number of contacts, pamoja na IMPEDANCE (Resistance Ω ) ambazo zina impact kubwa sana katika ubora wa sauti pamoja utumiaji wa battery.

mi zangu za tecno
 
hii iko hivi,,,,,

View attachment 158467

dah nimekukubali.mkuu we mbaaaya
 
Back
Top Bottom