Kwishney

Umepita kwa mama muuza akakupa ya buku,ukagongea na ugoro ukatoka jamaa akakuitia banana ukagonga kadhaa,mfukoni una sigara kubwa ukaamua uongeze stim mara washkaji wana viroba ukapewa ukapiga vya kutosha ulivyokumbuka kuwa hujala lazima utafakari kwa style hii.
 
tatizo la viroba ukiwa na elfu 5 wewe bosi
 
hahaaa.....sasa hapo anatokaje.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…