kizibo1
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 1,187
- 766
Haya ni mateso bila haki. Wee subiri na Mimi Leo narudi na kitu
Kila MTU ana mzuka lakini si kwa style hii aisee hapana kabisa
Nyumba zenyewe hizi za uswazi hazina singlibodi halafu mnatifuana kwa sauti ili mniumize sio
Utaisoma huku Jf mateso uliyonipa subiri zamu ysngu jioni