Kwetu zanzibar ushoga si tatizo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwetu zanzibar ushoga si tatizo!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by msani, Nov 7, 2011.

 1. msani

  msani JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,356
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Kwetu Zanzibar Ushoga Si Tatizo.........
  Source: Clouds fm,jahazi


  hivi hawa jamaa wana akili,eti sentensi haijakamilika sijui itaendelea lini au wanamaanisha nini?
   
 2. a

  actus Senior Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  radio yenyewe ya mashoga sasa unategemea nini??na ww unasikiliza hiyo radio ya mashoga?dedication song ant virus by sugu
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tangia lini redio ya mashoga ikaongea mambo ya maana? Pale ni full pumba, mwanzo mwisho.
   
 4. G

  Ginner JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,116
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Acheni maswala ya kishoga na nyie....clouds kosa lao nn...si wamenukuu maneno ya mkazi wa zanzibari.....pendeni kujua mambo mengi na views za watanzania wengine wa pwani wao jambo hili wanalichukuliaje.....sitegemei muwe mnacrash mada bila kuwa na detailz za kutosha....
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  kama kuna ukweli hapa wakuu........mi si nlisikiaga mabinto wote wanaoolewa zanzibar huolewa wakiwa na bikira zao lakini kasheshe ni wakati wa kujifungua hizo momba zao za kwanza...........kuna mjadala hapa unaweza ukazuka na kuendelezwa, mweeee........ Nasikia hii kitu sio jambo la ajabu pia Mombasa..............
   
 6. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  thibitisha kwa mifano mkuu kwa faida ya wengi..
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,732
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mnaosikiliza jahazi mmepotea njia...
  Bora ukacheze draft na wazee kuliko kusikiza jahazi ya clouds.
   
 8. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  redio ya wafuuuuuu eeee
   
Loading...