kweli kwetu pazuri ila ccm inapaharibu
pia watakuwa mwanza mwakani kwenye makambi ya kanisa l wasabato kirumba
Huu wimbo ni mzuri sana kuusikiliza, kuna mtu aliniambia kuwa asilimia kubwa ya waimbaji wa huu wimbo walifariki kwenye ajali, eti ni kweli?
"Nyumbani kwetu hakuna Masaburi, wala hakuna maleria wala hakuna vyandarua"
Nawatakia week end njema ndugu zangu.
mafisadi
mafisadi
inabidi niwepo ili nijitwalie binti mmoja matata!
Hii Ngoma Imenifanya Nisikilize tokea Jana hadi leo bado nausikiliza tu oiKweli kwetu pazuri ila CCM inapaharibu