Kujaa nchi za kiarabu nakubali lakini ninakataa kwa kuwa wafanyakazi wa ndani. Wanaweza kuwa wasafishaji barabara, madereva lakini sio wafanyakazi wa ndani. Kama unataka kubisha twende nchi 3 mpaka 4 za kiarabu tukaulize. Harama yako tickets tu yalobakia mimi nitalipaKwahiyo hukuona hapo nilipo andika wa Indonesia? Hiyo wafilipino nimeongezea tu,hebu isome tena comment yako #6 umesema "huwezi kumuona mu Indonesia anafanya kazi za ndani nchi za kiarabu" hiyo comment yako kuna sehemu uliandika Dubai?!
Ninachokwambia nina uhakika nacho kua wa Indonesia wamejaa nchi za kiarabu za Gulf.
Mkuu taifa ambalo linashusha wanawake kama sexual objects, kamwe haliwezi kuwa na maendeleo na ustaarabu.Hakuna watu makatili duniani kama Waarabu, biashara ya utumwa iliendeshwa na Waarabu, wanawake wa Kiarabu wanalazimishwa kufunika uso na vazi baya kuliko yote la KANIKI ili watu wengine wasimtamani,mwanamke wa Kiaarabu haruhusiwe kutoka nje kama kwenda sokoni au kazini kwa sababu anaamini akitoka atachukuliwa na wanaume wengine.Hata kwenda shule Mwararabu hapendi kabisa mwanamke atoke kwenda kusoma.Jambo hili ndio limesababisha hadi sasa tunavyoongea Mwarabu ni mtu mweupe kama mzungu lakini anashika mkia katika medani ya elimu.Vitu vyote anavyotumia mwanadamu katika maisha yake yote vimegunduliwa na mzungu na ndie pekee anaevitengeneza e.g. magari,ndege, mitanbo yote, simu, kompyuta; nguo, majengo na vingine vingi.Baada ya Mwarabu kuwa wa mwisho kama mtu mweupe ndo sasa tunafuata sisi tunafunga namba ya mwisho kwa ujinga.Kutokana na kupungukiwa na elimu ya kutosha ndo maana Mwararabu amepungukiwa na busara amekuwa ni mtu anaeongoza duniani kwa ghasia na mapigano.Dunia nzima kwa sasa haina amani kwa sababu ya Mwarabu.Angalia hata sasa tunavyoongea Nigeria hakukaliki kwa sababu ya Boko haramu, watu wanalazimishwa wawe Waislamu dini ya Waarabu, Syria kuna vita kali kupindukia kati ya Waarabu kwa Waarabu, Libya moto wa vita unaendelea kuwaka kati ya Waarabu kwa Waarabu, Yemeni hakukaliki maelfu ya watu wameshateketezwa kati ya Waarabu kwa Waarabu,Afghanistan, Iraq, Somalia na kwingineko vita imepamba moto kwa sababu ya Mwarabu.Lakini huwezi kuona mahali popote duniani kwa sasa wazungu kwa wazungu au wakristo wakipigana vita ovyo.Mzingu pia alishajua kuwa waarabu wanapungikiwa na elimu kwa kiwango kikubwa amekuwa anatumia udhaifu huo kwa kuwagonganisha wao kwa wao ili wasiwe na umoja na nguvu.Kumbuka kuwa mtu mwenye elimu na teknolojia ya kutosha ni rahisi kukuletea ukoloni mambo leo.Mwarabu hana uwezo wa kugundua na kuchimba mafuta, ni lazima mzungu aende amfanyie hayo yote.Shughuli zote za maendeleo lazima ziendeshwe na mzungu na ndipo mzungu anapopata nafasi ya kumwingilia Mwarabu kiuchumi na kumvuruga kwa kila hali.Yote haya ni kwa sababu ya kukataa kusoma elimu dunia.Kwa hiyo kumzuia mwanamke asishiriki kazi na masomo kwa kuchanganyikana na wanaume sio ustaarabu bali ni wivu wa kupindukia alionao Mwarabu.Ustaarabu wa kuvaa na kula sielewi uzuri wake ni bora kuliko watu wengine kivipi.Mtoa mada naona ni mtu ambae ameathirika vibaya mno na utamaduni wa Kiarabu ambao unachangamoto lukuki ambazo hazikidhi kiu ya ELIMU.Mwarabu bado yuko kwenye giza totoro hususani katika elimu, sayansi na teknolojia na sioni hasa ni lipi walimwengu wanaweza kuchota kama hazina ya maendeleo kwa ujumla.Mleta mada hii naona kama amekurupuka.Kwenye ustaarabu jamii ya Waarabu ni wa mwisho.
Wewe nawe muwongo sana unaongea stori za kusikia tu .kwa taarifa yako wa indonesia wako wengi sana ni wafanyakazi wa ndani nchi za kiarabu.middle east yote saudia Oman qatar wa indonesia wapo wanafanya kazi za nda iKujaa nchi za kiarabu nakubali lakini ninakataa kwa kuwa wafanyakazi wa ndani. Wanaweza kuwa wasafishaji barabara, madereva lakini sio wafanyakazi wa ndani. Kama unataka kubisha twende nchi 3 mpaka 4 za kiarabu tukaulize. Harama yako tickets tu yalobakia mimi nitalipa
Inaoneka unaongea kwa mihemko .hivi inchi kama USA na UK waliopitisha sheria kabisa ya mashoga kuoana.unawaacha wapi.unaongea mambo ambayo huna uhakika nayo.hebu tupe mfano inchi yoyote ya kiarabu ambao wametuhusu mambo hayo kisheriaWazungu huwa wapo open na wanaweka mambo ya wazi hata maovu.
Waarabu ni wachafu sana, wana roho mbaya sana na hata ufiraji wanafanya hawa ila wanafanya kwa siri.
Ni watu wa dhambi za siri hawa.
Suala sio kuruhusu...suala ni kwamba wao ndio waasisi wa huo ushenziInaoneka unaongea kwa mihemko .hivi inchi kama USA na UK waliopitisha sheria kabisa ya mashoga kuoana.unawaacha wapi.unaongea mambo ambayo huna uhakika nayo.hebu tupe mfano inchi yoyote ya kiarabu ambao wametuhusu mambo hayo kisheria
Mkuu achana nae huyo,mimi nimeamua kumpotezea tu coz anaongea vitu vya kusikia tu.Wewe nawe muwongo sana unaongea stori za kusikia tu .kwa taarifa yako wa indonesia wako wengi sana ni wafanyakazi wa ndani nchi za kiarabu.middle east yote saudia Oman qatar wa indonesia wapo wanafanya kazi za nda i
Mkuu, mambo yote mengi tunayoongea au kuandika humu yanatokana na kusikia, kusoma au kuona. Siyo lazima uone au kusoma ili jambo lithibitike kuwa kweli. Ata ukisikia habari zenye chanzo cha kuaminika kama taarifa za habari, watu walioona zaidi ya watatu, basi inatosha kuthibitisha ukweli wa taarifa.Mkuu achana nae huyo,mimi nimeamua kumpotezea tu coz anaongea vitu vya kusikia tu.
Mkuu hata wewe umekubali kua utaamini jambo kwa kuthibitishiwa na walioliona,sasa huyo uliyegeuka kua msemaji wake ni mtu aliyesikia na mimi ni mtu niliyeona,hapo utakataaje kwa mfano?Mkuu, mambo yote mengi tunayoongea au kuandika humu yanatokana na kusikia, kusoma au kuona. Siyo lazima uone au kusoma ili jambo lithibitike kuwa kweli. Ata ukisikia habari zenye chanzo cha kuaminika kama taarifa za habari, watu walioona zaidi ya watatu, basi inatosha kuthibitisha ukweli wa taarifa.
Mkuu, basi naona tumekubaliana, ingawa ata aliyesikia na aliyeona wanaweza toa taarifa za uwongo!Mkuu hata wewe umekubali kua utaamini jambo kwa kuthibitishiwa na walioliona,sasa huyo uliyegeuka kua msemaji wake ni mtu aliyesikia na mimi ni mtu niliyeona,hapo utakataaje kwa mfano?
Chifu ama sijakuelewa ama sijaelewa maana ya neno ustaarabu. Nimenukuu hapa toka bandiko lakoKwanza hujafafanua maana ya ustaarabu!
Ustaarabu unatia ndani utamaduni, uchumi, maendeleo, umoja na ushirikiano. Ustaarabu ni mchakato wa jamii ambapo jamii zinafikia hatua ya juu ya maendeleo, kiushirikiano, utamaduni na uchumi.
Kila jamii ina ustaarabu wake. Mwarabu kutoa mbweo wakati wa kula ni ustaarabu ambao unakubalika wakati kwa wazungu si ustaarabu. Na kwa mzungu kujamba mbele za watu ni jambo la kawaida wakati kwa mwarabu ni najis.
Hapawezekani kuwa na ustaarabu kama jamii haina maendeleo au utamaduni fulani. Kila jamii ina ustaarabu wake tofauti!
Ustaarabu wa wazungu ni kula na umma na kisu, na kukaa kwenye meza. Wakati mwarabu atakaa kwenye jamvi au mkeka kula na mikono!
Ustaarabu wa mwarabu nikuoa wake wengi wakati mzungu, mchina, muhindi ni mke mmoja.
Ustaarabu wa mwarabu kule Uarabuni kwao ni kupiga na kuuwa wafanyakazi wakikosea, wakati wazungu ni kukusimamisha kazi kisheria.
Ustaarabu wa mwarabu ni kusalimia kwa kubusu iwe mwanaume au mwanamke na kushika mkono. Wakati wazungu ni Hi, Hello, good afternoon bila ku shake hands ili kuepukana na maambukizo kama flu n.k.
Ustaarabu wa waarabu ni kunawa ambapo anashika mavi, wakati wazungu wanafuta na toilet papers hawataki kushika mavi.
Kwahiyo ustaarabu unatofautiana, kila jamii inayo ustaarabu wake na kujiona bora kuliko nyingine.
Wanaoongoza kwa kufira duniani ni Waarabu, wanafira wanawake na wanaume sasa shoga hapa ni nani?Inaoneka unaongea kwa mihemko .hivi inchi kama USA na UK waliopitisha sheria kabisa ya mashoga kuoana.unawaacha wapi.unaongea mambo ambayo huna uhakika nayo.hebu tupe mfano inchi yoyote ya kiarabu ambao wametuhusu mambo hayo kisheria
Mkuu kinyume cha ustaarabu ni unyama, ukatili na udhalimu. Sasa vitendo vya waarabu kuwauwa na kupiga wajakazi wao ni ukatili na udhalimu ambao ni ukosefu wa ustaarabu.Chifu ama sijakuelewa ama sijaelewa maana ya neno ustaarabu. Nimenukuu hapa toka bandiko lako
“Ustaarabu wa mwarabu kule Uarabuni kwao ni kupiga na kuuwa wafanyakazi wakikosea, wakati wazungu ni kukusimamisha kazi kisheria”
Kupiga na kuua wajakazi kisa tu wamekosea sehemu ya ustaarabu?
Oooh hapo sawa nimeelewa sasaMkuu kinyume cha ustaarabu ni unyama, ukatili na udhalimu. Sasa vitendo vya waarabu kuwauwa na kupiga wajakazi wao ni ukatili na udhalimu ambao ni ukosefu wa ustaarabu.