Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 624
Kwani hapa wanaongelewa Waafrica au waarabu? Nimereply kutokana na kilichoongelewa mkuuAfrica tunanyanyasa kuliko waarabu au hujui?
Kwani hapa wanaongelewa Waafrica au waarabu? Nimereply kutokana na kilichoongelewa mkuuAfrica tunanyanyasa kuliko waarabu au hujui?
Sasa hapo tatizo liko wapi? Hiyo hoja ya kuoa chini ya miaka 7 ni chuki zako tu nani kafanya toa ushahidi...in Africa mabinti wanaolewa mapema sana tena wanaorder mimba hapo unasemaje?Ustaarabu ni pamoja na imani/dini yao.
1.) Kuoa wake wengi kama mbuzi
2.) Kupiga mawe hadi kufa wanawake wanaopata mimba nje ya ndoa kwa kubakwa
3.) Kuoa wanawake (watoto) wa miaka 7
4.) Kuwavalisha kininja wanawake hata kwa sehemu zenye joto kali
5.) Kuzuia wanawake kuendesha magari
6.) Kuzuia wanawake kutoka nje ya nyumba bila ndugu wa kiume / mume
Huenda dini yake chimbuko lake hukoTujadili yetu ya waarabu na wazungu hayatuhusu. Wakati wa kujitambua ni sasa tusijidharaulishe.
Tatizo liko wapi? Basi tuishie hapa.Sasa hapo tatizo liko wapi? Hiyo hoja ya kuoa chini ya miaka 7 ni chuki zako tu nani kafanya toa ushahidi...in Africa mabinti wanaolewa mapema sana tena wanaorder mimba hapo unasemaje?



OOIII ACHA TUWalikubagua nn
ILA WAO WAMEZIDIKila MTU ni mbaguzi kwa namna yake
Ila wanaroho mbaya sana.
HAKUNA WATU WASTAARABU NA WANAJUA KUFUATA HAKI ZA KIBINADAMU KAMA WAZUNGU. SEMA TU SIKU HIZI WAMEHARIBIKA.
WAARABU SIO WASTAARABU
MYAHUDI ndio mstarabu kwa kila kitu ,toka enz za kina MUSA,
muarabu hamna kitu
mkuu lakini umesahau kuwa uarabu ndio unaoongoza kufirrana duniani? wanalinda tu bikra za mbele za nyuma ni suna? huo nao ustaarabu? hadi maeneo yoote waliyotembelea hapa bongo wameacha hiyo laana, zanzibar, Tanga, mombasa, pwani yooote wamecopy ustaarabu wote. leo hii ukiwa na dadako ukasikia anatembea na mwarabu, kila mtu anabaki mdomo wazi.1. Mavazi.
2. Ulaji wa chakula.
3. Salamu
4. Heshima ya mke kwa Mume
Mwanamke hatakiwi kufanya kazi mwanaume kazi yake kupeleka huduma.
Hapa nimependa. Mwanamke akiwa na kibarua ni mtihani sana kwenye malezi ya watoto.. Ukizingatia mahouse girl wanavyosumbua na heshima ndani hakuna...
Ongeza mengine tuwape heshima yao
Acha chuki....mkuu lakini umesahau kuwa uarabu ndio unaoongoza kufirrana duniani? wanalinda tu bikra za mbele za nyuma ni suna? huo nao ustaarabu? hadi maeneo yoote waliyotembelea hapa bongo wameacha hiyo laana, zanzibar, Tanga, mombasa, pwani yooote wamecopy ustaarabu wote. leo hii ukiwa na dadako ukasikia anatembea na mwarabu, kila mtu anabaki mdomo wazi.
Hapo kwenye red..Tatizo hilo linatokana na serikali yetu haina misingi ya ajira kwa wananchi wake. Huwezi kumuona mu Indonesia anafanya kazi za ndani nchi za kiarabu . Halafu hata sisi wenyewe tunawafanyia ukatili hawa wadada wa kazi na kuwabaka kama watumwa wa ngono.
Hapo kwenye red,Ndio wafiraji wakubwa wanaongoza kwa matumiz ya pombe kali japo kwao ni marufuku wabaguz wa rangi na dini washirikina kuliko wote duniani humsaidia mungu kutoa hukumu kwa kiwango cha juu
hapo kwenye red, Unaongoza kwa takwimu zipi na nani alitoa hizo takwimu na ilikua lini? Acha kuchangia kwa chuki haitokusaidia lolote mkuu.mkuu lakini umesahau kuwa uarabu ndio unaoongoza naoongoza kufirrana duniani? wanalinda tu bikra za mbele za nyuma ni suna? huo nao ustaarabu? hadi maeneo yoote waliyotembelea hapa bongo wameacha hiyo laana, zanzibar, Tanga, mombasa, pwani yooote wamecopy ustaarabu wote. leo hii ukiwa na dadako ukasikia anatembea na mwarabu, kila mtu anabaki mdomo wazi.