IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,027
1. Mavazi.
2. Ulaji wa chakula.
3. Salamu
4. Heshima ya mke kwa Mume
Mwanamke hatakiwi kufanya kazi mwanaume kazi yake kupeleka huduma.
Hapa nimependa. Mwanamke akiwa na kibarua ni mtihani sana kwenye malezi ya watoto.. Ukizingatia mahouse girl wanavyosumbua na heshima ndani hakuna...
Ongeza mengine tuwape heshima yao