Hivi katimiza miaka mingapi leo?Dah! Huyu mzee Heshima sanaa kwake huwa namwelewa sana mzee Robaaaa
93yrsHivi katimiza miaka mingapi leo?
Nafikiri Tisini tatu kwa sasa......Hivi katimiza miaka mingapi leo?
Aise Mungu amjalie afya, ukiachilia mbali mapungufu yake ila binafsi namkubali sanaNafikiri Tisini tatu kwa sasa......
Miaka 93.Hivi katimiza miaka mingapi leo?