Mpira wa maguvu ni sawa kama waamuzi ni wako kama wanavyocheza utopolo.
Maana utacheza sarakase,kung fu na taikondo ila kadi hupewi.Ukikutana na wachezaji wanaojielewa,wanaweza wakasema funika kombe mwanaharamu apite.Ukikutana na wabishi mechi inaharibika maana wakilipiza kisasi tu,wao ndio wanapewa kadi