kwenye semina

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
SEMINA UBUNGO PLAZA,watu wakaanza kujitambulisha,Mtu wa1: mimi naitwa John niko UDOM Mwaka wa 2, nasoma LAW.Mtu wa 2: mimi naitwa Stella niko UDSM mwaka wa 3 nasoma PUBLIC RELATION.Mtu wa3: kwa kusuasua sana huku akijishtukia, mimi naitwa Paulo niko TANESCO mwaka wa 4 nasoma MITA.
 
Back
Top Bottom