Kwenye ndoa tunabeba mengi, zaidi ya mabegi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenye ndoa tunabeba mengi, zaidi ya mabegi...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Jul 16, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Baadhi ya wanawake huamini kwamba wanaume wote ni waongo (cheaters) kwa kuwa ndicho ameona wanaume wanafanya au familia aliyokulia na kulelewa wanaume/mwanaume aliyekuwepo alikuwa hivyo.
  Pia wapo wanaume wanaoamini kwamba wanawake wote ni viumbe dhaifu (weak) kwa kuwa alilelewa na mwanamke mmoja ambaye alikuwa dhaifu.
  Mtazamo wa kijana yeyote ...kuhusu jinsia nyingine ni muhimu sana katika suala la uchumba na hatimaye kuwa mke au mume katika maisha yako.

  Kama hujaoa au kuolewa ni muhimu sana kufahamu vizuri kijana wa kiume unayetaka kuoana naye au binti unataka kumuoa amelelewa katika mazingira gani (background).
  “A woman can not be just jealous by accident, she is responding to her dad who was not trusted”
  Hulazimishwi kumuoa fulani kwa lazima.
  Kama unataka ndoa yenye furaha afadhari uwe mtu ambaye anachagua sana (picky) na wala usiwe na aibu kuachana na mwanaume au mwanamke ambaye hawaoneshi kukua kihisia kitu ambacho ni muhimu sana kwa maisha yako marefu ya ndoa hapa duniani.
  Pia kumbuka mwanaume na mwanamke wanapooana na kukubaliana kwenda kuishi pamoja huwa hawabebi mabegi tu ya nguo na vyombo bali hubeba na vitu vingine vingi kutoka huko walitoka na kuvileta kwenye ndoa mpya kama vile tabia za mama yake, baba yake, kaka yake, dada yake, kabila lake, dini yake, ndugu zake, malezi yake, na kila aina ya mzigo na namna unavyochagua kwa makini ni bora kwako maana utafahamu nini anakuja nacho kuanza maisha na wewe kwenye ndoa na nyumba yenu mpya.

  AMEN...........................
   
 2. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Lol, masomo yako ya leo kiboko.
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Bi nyakomba masomo muhimu si unajua tena......uzee daghwaaaa...
   
 4. EARPHONE

  EARPHONE JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Narudia upya kusoma...
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  mimi niliacha kila kitu nikaenda kuanza upya!!!!!!!
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwa nini ?
   
 7. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  aisee, hadi pi.chu i presume....
   
 8. Gajungi

  Gajungi Senior Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35


  Nyoooooooooo ,hiyo bana nimetoa endorfins 1000gr.
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  sikutaka kubeba mizigo ya watu ingenilemea
   
 10. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  hahahaha hujaelewa ama umenogewa?
   
 11. B

  Bi nyakomba JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 387
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hahahhaa haya babaa. Tupe orientation lol, nina booklet kubwa nimepaste kwa ajili ya kumbu2 ili siku ya siku nikumbuke vya kubeba na vyakuacha
   
 12. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haya mkunga
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  somo zur
   
 14. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu uzii umetulia ila kwenye title usingesema zaidi ya mabegi ingependeza ungeweka neno zaidi ya majukumu.
   
 15. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kimbweka leo umeamshwa na nini?
   
Loading...