Hilo kosa ni DOUBLE STANDARD, jinsia flani ikifanya msamaha unahusika, na jinsia flani ikifanya halistahili msamaha.
Kwa mwanaume akisaliti ndoa, kosa linastahiki msamaha. Ila kwa mwanamke akisaliti ndoa, kosa halistahiki msamaha.
Kwa jinsi ninavyompenda mke wangu nahis ntamkatakata mapanga, ndo mana wakat mwingine najuta kuoa mwanamke ninayempenda sanaKwa jinsi navyompenda mke wangu naamini ntakuwa tayari kumsamehe.
Kosa kama ni la kwanza linasameheka.Je ukimfumania mwenza wako anachepuka ndani ya Nyumba yako kiasi cha kwamba kukatokea ugomvi uliofanya jamii nzima ijue unagongewa unaweza kumsamehe mwenza wako na kuendelea kuishi naye.
Kwani ni lazima asaliti ili kama imetokea mara moja asamehewe, kusaliti si sawa na kosa la kuvunja glas ujueLazima umuulize kilichompelekea kutoka nje ya ndoa unaweza kuta umekaa na mke miaka 5 bila kusikia wala kuhisi unasalitiwa ghafla unamfumania kwa nini usimpe second chance.
ili akusaliti vizuriLazima umuulize kilichompelekea kutoka nje ya ndoa unaweza kuta umekaa na mke miaka 5 bila kusikia wala kuhisi unasalitiwa ghafla unamfumania kwa nini usimpe second chance.
Never say never haya maneno yana maana kubwa sana.Gunia tatu zitahusika
Kuna watu wana nguvu ya ushawishi we jiulize tu mwanaume anapigwa kiswahili mpaka anatapeliwa je kwa bahati mbaya mke wako anaweza kutana na watu wa namna hiyo akajikuta anaachia mzigo bila kupenda inabidi umuelewe tu maisha yasonge tu maana haikuwa kusudi lake nguvu ya ushawishi ilimuzidiili akusaliti vizuri
Huo ni mtazamo wakoKuna watu wana nguvu ya ushawishi we jiulize tu mwanaume anapigwa kiswahili mpaka anatapeliwa je kwa bahati mbaya mke wako anaweza kutana na watu wa namna hiyo akajikuta anaachia mzigo bila kupenda inabidi umuelewe tu maisha yasonge tu maana haikuwa kusudi lake nguvu ya ushawishi ilimuzidi
Kujikwaa sio kuanguka inatokea once na aina maana kuwa hakupendi ni vile tu shetani alimzidi nguvu kwa sisi maGentleman tunasema kuchapiwa ni siri ya ndani tunakaa mezani maisha yanaendeleaKwani ni lazima asaliti ili kama imetokea mara moja asamehewe, kusaliti si sawa na kosa la kuvunja glas ujue
Hapana Bali huo ni uhalisia.Huo ni mtazamo wako
Kweli maana kumuacha ni kumtengenezea mazingira mazuri mgoni wako ajisavie tunda kwa UhuruKosa kama ni la kwanza linasameheka.
Ha ha ha aabora nikuvumilie, acha mengi tuu me niambiwe..
bora nikuvumilie, oooh (bora) *2
🤩🤩🤩🤩🤩 usenge ni kuleta hawara ndani ya nyumba!Hilo kosa ni DOUBLE STANDARD, jinsia flani ikifanya msamaha unahusika, na jinsia flani ikifanya halistahili msamaha.
Kwa mwanaume akisaliti ndoa, kosa linastahiki msamaha. Ila kwa mwanamke akisaliti ndoa, kosa halistahiki msamaha.
Jibu hapana, iwapo umeshuhudia kwa macho yako tendo lile likifanyika tena uwe na mashahidi wanne walioona ,,,
Jumaa mubaraq
[/QUOT